Responded Selcom: Unaweza kuweka salio kwenye N-CARD yako kwa kutumia Selcom Pesa

Responded Selcom: Unaweza kuweka salio kwenye N-CARD yako kwa kutumia Selcom Pesa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Mara baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kulalamikia huduma ya Kazi za N-CARD katika kuweka fedha, inayowalazimu kupanga foleni wakati wa kuitumia katika Kivuko Kigamboni, ufaafanuzi umetolewa na Selcom.

Kama hukusoma andiko la Mdau bofya hapa ~ Kwanini N-CARD hawana App inayowezesha abiria kutop-up balance bila kupanga foleni?

Selcom imeandika "Ni rahisi sana. Utaingia kwenye app yako ya Selcom, kisha uchague ‘Kutuma Pesa’. Baada ya hapo chagua ‘Tuma kwenye Kadi’, halafu uchague ‘Selcom N-CARD’. Weka namba ya kadi, kisha weka kiasi cha pesa unachotaka kutuma. Ukikamilisha hatua hizo, utakuwa umefanikiwa kuweka salio kwenye N-CARD yako."
 
Back
Top Bottom