Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama TAIFA hatuna mipango MadhubutiSijui kama mwaka huu watoto watapenda tena somo langu la physics
C hzo zimekuwa marks za kawaida siku hizi hajui elimu ilivyovurugwa huyuAsnte Sana kwa UZI wako mkuu Ila
Kwa mwanafunzi ambae Ana flat C
PHYSICS-C
CHEMISTRY-C
BIOLOGY-C
MATHEMATICS-C
Huyu hawezi kusoma mchepuo/tahasusi ya science
Huyu lazima apangiwe ARTS COMBINATION
2013 hiiwakati tunasoma miaka hiyo kuna dogo alikuja PCB akiwa na Div three, kuna miamba kibao ilikua ni single digits(namaanisha Div one ya 7-9) na wengine walikua na One za kawaida tu
Lakin mpaka tunamaliza six dogo alikula single digit ya PCB kaenda zake MUHAS na kuna wale wa single digits kibao za olevel walikula three na four za mwisho wenye uwezo wakaishia kwenda India, ndiyo Mwaka ambao TO alikua na C ya physics[emoji3][emoji3]
Suala liwe Combination kubalance, mambo sijui ya Division one au two, hiyo ni subjective
Shule nyingi za government watoto wakifika form three wanachagua sana masomo na kubase huko(arts, science na wengine biashara) sababu ya shortage ya walimu,
tutaua ndoto za madogo wengi kutoka familia za kawaida
Waliofaulu kuzid hzo marks zake ni wengi kuliko yeyeKwanini hawezi soma mchepuo wa Science
shule binafsi wanawapokea hao na form six wanafaulu vizuri tu.Asnte Sana kwa UZI wako mkuu Ila
Kwa mwanafunzi ambae Ana flat C
PHYSICS-C
CHEMISTRY-C
BIOLOGY-C
MATHEMATICS-C
Huyu hawezi kusoma mchepuo/tahasusi ya science
Huyu lazima apangiwe ARTS COMBINATION
Ndilo anapaswa kujuaWaliofaulu kuzid hzo marks zake ni wengi kuliko yeye
Huyo ni mkali endapo amepata hizo st kayumbaAsnte Sana kwa UZI wako mkuu Ila
Kwa mwanafunzi ambae Ana flat C
PHYSICS-C
CHEMISTRY-C
BIOLOGY-C
MATHEMATICS-C
Huyu hawezi kusoma mchepuo/tahasusi ya science
Huyu lazima apangiwe ARTS COMBINATION
Nazani system ya second selection bado ipo, maana wanaochaguliwa si wote wataenda,kuna wengine wataenda zao kusoma nje,kuna wengine wataendelea na private na kuna wengine watapata changamoto za kimaisha,na pia kuna wengine hufariki pia kabla hawajajiuunha na shule!!Mimi siyo kaka anyway
Hoja ni kuwa MFUMO WA SELECTION UWE INTEGRATED meaning uhusishe shule za Private kwa sababu kwa sasa SELECTION zinafanyika kwa assumptions kuwa HATUNA PRIVATE SCHOOL jambo ambalo siyo kweli..
Kwa mazingira haya kuna wanafunzi hasa kutoka PRIVATE watakuwa wanashikiliwa nafasi ambazo hawazitumii meaning anapangwa shule ambayo kwa uhalisia haendi na matokeo yake kuna wengi wenye sifa wanakosa NAFASI.
KUKIWA na integrated plan tutajua kama nchi wangapi wanaenda private na wangapi wanaopt kwenda SERIKALINI ili kuondoa hii changamoto ya kuwa na wanafunzi wanaoshikilia nafasi ambazo kwa uhalisia hawazitumii na hii itawapa nafasi wale wengine wenye sifa wapate nafasi hizo....
Second SELECTION; alishapangwa tayari ARTS au vyuo vya kati, Je utampeleka aliyeachwa asiye na sifa?Nazani system ya second selection bado ipo, maana wanaochaguliwa si wote wataenda,kuna wengine wataenda zao kusoma nje,kuna wengine wataendelea na private na kuna wengine watapata changamoto za kimaisha,na pia kuna wengine hufariki pia kabla hawajajiuunha na shule!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kuna kijana Ana C - Physics, B-Chemistry, A- Biology,,kapelekwa HGL ambako ana C- History, B-Geography na C- English ,,Kagoma kwenda shuleHabari wanajamvi...
Niende kwenye mada; mwaka huu TULIPATA habari kuwa wanaopangwa SAYANSI yaani PCM na PCB ni wenye daraja la kwanza tu tena wavulana ni 7-15 na WASICHANA ni 7-17...
Ni jambo jema kuimarisha msingi wa elimu ili kujihakikishia wataalam bora hapo baadaye; Ninachojiuliza mimi ni haya yafuatayo ambayo naomba wanabodi mnisaidie
1. Serikali huwa inapanga SELECTION kama hakuna shule BINAFSI na inaamini mpaka aliyesoma St. Francis, Feza, Marian, st. Mary Mazinde na kwingineko ataenda shule ya SERIKALI TENA YA KAWAIDA, matokeo yake wanawapanga vijana wengi kutoka shule hizi kwenda shule za serikali wakiamini wataenda.
UHALISIA wengi hawaendi na huziba nafasi za wengine bila sababu, Je Serikali hawalioni na kujifunza kutokana na hili?
2. Kutokana na kupanga SELECTION kwa assumptions hakuna shule ya BINAFSI ya advance, husababisha wanafunzi wengine waliofaulu kwa wastani wa kawaida yaani mfano DIVISION II amabo utakuta kwenye SAYANSI wana points 7-9 [CBB, CCB,CCC] kushindwa kupata nafasi ya kupangwa kidato cha Vsayansi na matokeo yake hupangewa ARTS kwa kigezo cha kutakuwa na daraja la I, hali hii itawavunja moyo sana vijana kutoka shule za kata na kuona kufanikiwa kusoma SAYANSI ni ngumu sana maana lazima iwe na daraja la I... kumbe wangezingatia UWEPO WA SHULE ZA ADVANCE ZA KIDATO CHA TANO ZA PRIVATE BASI VIJANA HAWA WANGEPATA NAFASI YA KUTIMIZA NDOTO ZAO ZA KUSOMA SAYANSI.
3. Je baada ya kupita muda wa kureport kidato cha tano kwa shule za serikali na kujiridhisha kuwa kuna wengi wameenda PRIVATE, Nafasi zao zitajazwa na AKINA NANI wakati walikuwa na sifa WAMEPELEKWA ARTS???
Ni kweli wataalam tulionao MAWIZARANI HUKO wanatosha? Au wanafanya kazi kwa MAZOEA? Vijana wengi sana wamekata tamaa na SELECTION za mwaka huu!! Msichana ana CCC kwenye combinations za PCM na PCB unampelekaje ARTS kwa kigezo tu cha kutokuwa na DIVISIONI? Je tunalenga kufanikisha nini?
Kwanini usiwepo utaratibu kuwa na integrated PLAN ya SELECTION inayohusisha SHULE ZA PRIVATE ili watoto hawa waliosoma katika mazingira magumu waweze kupata nafasi ya kutimiza ndoto zao badala ya WATOTO WACHACHE waliotoka kwenye PRIVILEGED FAMILIES za akina PROF. MKENDA kushikilia nafasi mbilimbili na matokeo yake wanatumia moja tu?
SERIKALI IJITAFAKARI KUTOKANA NA HIKI KILICHOFANYWA KWENYE SELECTION MWAKA HUU VINGINEVYO WANAWAVUNJA SANA MOYO VIJANA WALIOPAMBANA KUTIMIZA NDOTO ZAO.
HEBU juilize MWENYE POIT 8- 9 kwenye Combinations za PCM na PCB unampeleka ARTS halafu mwenye point 10 unampeleka VOCATIONAL, hii ni akili au kufanya kazi kwa MAZOEA?
Yaani kuna HAJA TUWE NA KAZI ZA MIKATABA maana hii HABARI YA WATUMISHI WA UMMAH kuwa na uhakika wa kazi [Permanent and Pensionable] inatuletea MAJANGA kwenye TAIFA hili maana hakuna ubunifu ila ni bora tu liende....
Najiuliza hizi SELECTION kuchukua Muda mrefu vile na kuja na huu UTUMBO ni kwa sababu gani? Au hata EXCEL tu kupanga matokeo na shule ni MTIHANI na watu walikuwa wanapiga kimanual manual?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani nawahurumia vijana WOTE WALIKUWA NA SIFA ZA KUSOMA SAYANSI LAKINI KWA SABABU YA UVIVU WA KUFIKIRI WATENDAJI WETU wakajikuta wamelekwa H kunani.
YAANI NIMESIMULIWA MPAKA NIKAHISI KULIA, Binti ana C ya physics, C ya Basic math, C ya Chemistry na C ya Biology amepelekwa HKL.
Halafu uniambie tuna WATENDAJI wanaotumia vichwa vyao kufanya kazi zao!!!!!!
ENDELEENI kula tu KODI zetu ila KUNA SIKU.
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
ETI WATAKUAMBIA HANA DIVISION IKuna kijana Ana C - Physics, B-Chemistry, A- Biology,,kapelekwa HGL ambako ana C- History, B-Geography na C- English ,,Kagoma kwenda shule
Hivo dira tunayo kama TAIFA?Kama TAIFA hatuna mipango Madhubuti