Selection ya kidato cha tano kuna mengi ya kujifunza

Selection ya kidato cha tano kuna mengi ya kujifunza

C zao zinaanzia ngapi??.


Aina ya mitihani ipoje??.


Nifikiriavyo Mimi, kwa.kuzingatia uhalisia wa kizazi hiki Cha watoto wa Sasa, wana Uwezo Mdogo, ila wengi wanabebwa na Mfumo wa SIASA ulijipenyeza mashuleni !!.


Isije kua C inaanzia 40, alafu mitihani myepesi + standardization !!.

Huyo wa CCC ya PCB, hawezi kutoboa Advance!.
 
Huoni ni kuna shida? Mwenye point 10 yaani CCD anaenda ufundi [VOCATIONAL] halafu mwenye point 9 anaenda ARTS??

Hii ina make sense? Halafu WANASEMA wanahamasisha watoto wasome SAYANSI?
Badala ya kuboresha mazingira ya wanafunzi kupenda na kusoma science, wao wanacheza na marks😃
 
Daaaaaaah kwel Tanzania tuna shida. Tujitahidi sn kuondoa Perception zetu Juu ya watu wengine. Kupata C inategemea na Mazingira so shida inaweza isiwe Kwa wanafunzi .

Hapa ngoja nikupe Story yng kidogo.
Katika Maisha yang ya O Level nilikuwa Napenda sn hesabu na ndy Somo nilikuwa napata High marks Kwa Asilimia kubwa zaidi kulinganisha Masomo Mengine.

Cha ajabu kuna Shule niliamini Form 4 huko nilipoenda Mwalimu wa Mathematics alikata Kabisa nisiingie kwenye kipindi chake na kuhaidi kutokusahihisha Mtihan wng Kabisa toka JANUARY mpk na maliza Form 4. Sababu za kukata ni
1. Mi nilikuwa Napenda kusikiliza Kwanza then ndy nitaandika notes baadae so unakuta muda mwingi Mwalimu akiwa anafundisha uwaga nafunga daftari na kumsikiliza. (Hii style ya usomaji wangu Mwalimu hakuipenda ndy chanzo cha kutaka nisiingie kwenye kipindi chake )
2. Siku Moja alinikuta nasoma Hesabu muda wa Prepal (Usomaji wangu wa Hesabu ulikuwa km usomaji wa story tu nasoma bila kufanya workout yoyote kifupi nilikuwa nasoma km Gazetti) cha ajabu kumbe Yeye alitegemea kukutana na lim paper au daftar la kusolve Pembeni hii nayo angaanza kuconnect na usomaji wa darasani hapo ndy akaweka kigezo cha 2 cha kutokusahihisha Mtihan wng toka January mpk namalizia form 4.


Kwangu haikuwa tatizo nikafata Masharti yake mpk Matokeo yanatoka Mathematics Mwaka ule Darasa lote lilikuwa na A mpk C 11 tu na Ya kwangu ilikuwepo so kupata C inategemea na Mazingira acheni watoto wasome wanavyopenda kwani akienda PCM na C flat we unateseka nini
Mtoa mada una hoja ila kumbuka pia kuna ushindani, mwaka huu somo kama Chemistry limefaulisha sana, A na B za kutupwa hivyo unawezakuta wameangalia B ya chemistry kwenda sayansi, kikubwa mwanafunzi mwenye ndoto ya pcm au pcb ajitahidi apate ufaulu mkubwa hata wakichekecha awemo

Kuna wanafunzi vilaza kabisa hata kubalance equation ni shida ila ana C ya chemistry.

Mwanafunzi ahakikishe kwanza Physics anapata C halafu huko kwingine BB
 
C zao zinaanzia ngapi??.


Aina ya mitihani ipoje??.


Nifikiriavyo Mimi, kwa.kuzingatia uhalisia wa kizazi hiki Cha watoto wa Sasa, wana Uwezo Mdogo, ila wengi wanabebwa na Mfumo wa SIASA ulijipenyeza mashuleni !!.


Isije kua C inaanzia 40, alafu mitihani myepesi + standardization !!.

Huyo wa CCC ya PCB, hawezi kutoboa Advance!.
Mpe nafasi km hasipotoboa Advance hyo ni Juu yake lkn most ya watu wa C advance uwaga ni Wakali sn kuliko hizo A B
 
Back
Top Bottom