Selection ya kidato cha tano kuna mengi ya kujifunza

Latakiwa Serikali iweke ubora kama hujapata daraja fulani huwezi soma tahasusi fulani na lazima matokeo yathibitishwe na NECTA kabla ya mtu kudahiliwa A level
 
Duuuu! Kumbe Kwa Sasa mambo ndio yapo hivyo elimu ya nchi hii sijui inaelekea wapi
 
Asnte Sana kwa UZI wako mkuu Ila
Kwa mwanafunzi ambae Ana flat C
PHYSICS-C
CHEMISTRY-C
BIOLOGY-C
MATHEMATICS-C
Huyu hawezi kusoma mchepuo/tahasusi ya science
Huyu lazima apangiwe ARTS COMBINATION
C hzo zimekuwa marks za kawaida siku hizi hajui elimu ilivyovurugwa huyu
 
2013 hii
 
Asnte Sana kwa UZI wako mkuu Ila
Kwa mwanafunzi ambae Ana flat C
PHYSICS-C
CHEMISTRY-C
BIOLOGY-C
MATHEMATICS-C
Huyu hawezi kusoma mchepuo/tahasusi ya science
Huyu lazima apangiwe ARTS COMBINATION
shule binafsi wanawapokea hao na form six wanafaulu vizuri tu.
 
Asnte Sana kwa UZI wako mkuu Ila
Kwa mwanafunzi ambae Ana flat C
PHYSICS-C
CHEMISTRY-C
BIOLOGY-C
MATHEMATICS-C
Huyu hawezi kusoma mchepuo/tahasusi ya science
Huyu lazima apangiwe ARTS COMBINATION
Huyo ni mkali endapo amepata hizo st kayumba
 
Nazani system ya second selection bado ipo, maana wanaochaguliwa si wote wataenda,kuna wengine wataenda zao kusoma nje,kuna wengine wataendelea na private na kuna wengine watapata changamoto za kimaisha,na pia kuna wengine hufariki pia kabla hawajajiuunha na shule!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Second SELECTION; alishapangwa tayari ARTS au vyuo vya kati, Je utampeleka aliyeachwa asiye na sifa?
 
Kuna kijana Ana C - Physics, B-Chemistry, A- Biology,,kapelekwa HGL ambako ana C- History, B-Geography na C- English ,,Kagoma kwenda shule
 
Watoto wa shule za kata, wasahau kusoma sayansi. Naona shule za private wao watakua wanajaza advance. Watoto wa maskini ndoto ziishie kidato Cha nne.
 
Kuna kijana Ana C - Physics, B-Chemistry, A- Biology,,kapelekwa HGL ambako ana C- History, B-Geography na C- English ,,Kagoma kwenda shule
ETI WATAKUAMBIA HANA DIVISION I


Hii nchi ngumu sana... mie nilikakuta kabinti flani kakanihaduthia kameta Division II 20 na PCM na PCB amefaulu lwa point 9 kwa 8 mtawalia lakini anapelekwa HKL....

Niliumia sana....
 
Mleta mada umeongea point.Wizara acheni kuharibu future ya vijana wetu.
 
Enzi zetu tulikuwa ukisha maliza kufanya mtihani tu unajaza fomu kuchagua combination 3 na shule ambazo kama ukifaulu utapelekwa huku kipawa mbele kikiwa combination ya 1 combination isipobalance wanakupeleka 2 isipobalance wanakupeleka 3. Ulikuwa hulazimishiwi au kuchaguliwa combination. Je kwani siku hizi hilo halifanyiki?
 
Kuna mtu ni daktari.. ila Form 4 alipata Division 3 ( Combination alikua na AAA).. kwa vigezo hivi asingekua daktari..
 
Serikali kwa mtindo huu ina maana gani ya kuhamasisha watoto wakazanie masomo ya sayansi??

Hili liserikali halina nyezo au njia za kutoa watoto wa maskini katika umaskini.

Na kwa nini wanaleta ubaguzi wa jinsia kwenye elimu na kuwapendelea jinsia ya kike??

Elimu hii kila waziri akiingia madarakani anakuja na ajenda zake ambazo zinaongozwa na mihemuko ya kibepari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…