Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Badala ya kuboresha mazingira ya wanafunzi kupenda na kusoma science, wao wanacheza na marks😃Huoni ni kuna shida? Mwenye point 10 yaani CCD anaenda ufundi [VOCATIONAL] halafu mwenye point 9 anaenda ARTS??
Hii ina make sense? Halafu WANASEMA wanahamasisha watoto wasome SAYANSI?
Mtoa mada una hoja ila kumbuka pia kuna ushindani, mwaka huu somo kama Chemistry limefaulisha sana, A na B za kutupwa hivyo unawezakuta wameangalia B ya chemistry kwenda sayansi, kikubwa mwanafunzi mwenye ndoto ya pcm au pcb ajitahidi apate ufaulu mkubwa hata wakichekecha awemo
Kuna wanafunzi vilaza kabisa hata kubalance equation ni shida ila ana C ya chemistry.
Mwanafunzi ahakikishe kwanza Physics anapata C halafu huko kwingine BB
Mpe nafasi km hasipotoboa Advance hyo ni Juu yake lkn most ya watu wa C advance uwaga ni Wakali sn kuliko hizo A BC zao zinaanzia ngapi??.
Aina ya mitihani ipoje??.
Nifikiriavyo Mimi, kwa.kuzingatia uhalisia wa kizazi hiki Cha watoto wa Sasa, wana Uwezo Mdogo, ila wengi wanabebwa na Mfumo wa SIASA ulijipenyeza mashuleni !!.
Isije kua C inaanzia 40, alafu mitihani myepesi + standardization !!.
Huyo wa CCC ya PCB, hawezi kutoboa Advance!.
Selection tayari?Yamejirudia yaleyale
Tayari Mkuu zimetoka leo Mida ya saa tisa hivSelection tayari?
Hii siasa itaendelea kutengeneza janga kubwa kwa watoto wetu.Vigezo viwe kwa wote private au gvt. Wote walifanya mtihani mmoja priority za selform zizingatiwesyllabus
Hivi unamtoa mtoto DSM unampeleka Tarime!? Hii kweli ni selekisheni!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Tayari Mkuu zimetoka leo Mida ya saa tisa hiv