hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Kwani ungesema tu kuwa ni Wewe kuliko kusema ni Jamaa yako ungepungukiwa nini?Wakuu!
Jamaa angu ka login kwenye account yake aliyotumia kufanya application za Muhas akakuta taarifa "ndugu '__' hujachaguliwa kujiunga na chuo Cha Muhimbili round 1" Hilo Jambo limeniogopesha Sana ukizingatia jamaa ana one ya point 5, dah!
Wakuu naombeni kufahamishwa njia nyingine ya kuzitazama hizi selection kwasababu Mimi nimejaribu kulogin kwenye account yangu sijakuta taarifa yoyote inayohusiana na selection.
maybe utaratibu kuwa upoje miaka mingne.
Sio Mimi mkuuKwani ungesema tu kuwa ni Wewe kuliko kusema ni Jamaa yako ungepungukiwa nini?
Inabidi uwe na 1 ya 3 hizo 5 zipo km uchafu zimetapakaa, elimu yenu imerahisishwa ukifeli kipindi hiki wewe ni zaidi ya sifuriSio Mimi mkuu
Inabidi uwe na 1 ya 3 hizo 5 zipo km uchafu zimetapaka
Dah! wangetuambia basi kabla hatujafanya application, Sasa round 2 Tena ushindani utakuwa mkubwa maana ni wengi watakaokosaInabidi uwe na 1 ya 3 hizo 5 zipo km uchafu zimetapakaa, elimu yenu imerahisishwa ukifeli kipindi hiki wewe ni zaidi ya sifuri
Alaf sijawahi kuwaza hiliMzazi makini hapaswi kuwaza muhimbili tu.
Katika nchi jirani zinazotuzunguka Kuna vyuo vikuu kibao vina ranking ya juu kuliko muhimbili tena ada zake hazitishi sana.
MD ya makerere ina nguvu kuliko ya muhas kwenye world ranking
MD ya university of zambia ina nguvu kuliko muhas
MD ya university of Malawi ina nguvu kuliko muhas
MD ya university of nairobi ina nguvu kuliko muhas
University of rwanda pia ina Md yenye nguvu sana.
Wazazi wengi siku hizi wanalipa ada mamilioni toka chekechea na sekondari wanalipa mamilioni huko marian, st francis, tusiime ama feza.
Ila cha kushangaza vyuo wanategemea vya ndani yetu tu
Kwan selection zmetoka?? C almanac ya Tcu wameandka tarehe 25Wakuu!
Jamaa angu ka login kwenye account yake aliyotumia kufanya application za Muhas akakuta taarifa "ndugu '__' hujachaguliwa kujiunga na chuo Cha Muhimbili round 1" Hilo Jambo limeniogopesha Sana ukizingatia jamaa ana one ya point 5, dah!
Wakuu naombeni kufahamishwa njia nyingine ya kuzitazama hizi selection kwasababu Mimi nimejaribu kulogin kwenye account yangu sijakuta taarifa yoyote inayohusiana na selection.
maybe utaratibu kuwa upoje miaka mingne.
Ndiyo wamaendika tarehe 25, lakini nashangaa kwenye baadhi ya account za watu uki login unakuta ujumbe moja kwa moja kwamba hujachaguliwa, sijui imekaaje hiiKwan selection zmetoka?? C almanac ya Tcu wameandka tarehe 25
Word...Inabidi uwe na 1 ya 3 hizo 5 zipo km uchafu zimetapakaa, elimu yenu imerahisishwa ukifeli kipindi hiki wewe ni zaidi ya sifuri
Namba ya mtihani ya form four na mwaka alomaliza yaani S1___/0___/2020,Hivi Muhas username inaandikwaje?
Nimejaribu sana kuandika namba ya mtu inagoma.Namba ya mtihani ya form four na mwaka alomaliza yaani S1___/0___/2020,
Ila udom si aliomba?Wakuu!
Jamaa angu ka login kwenye account yake aliyotumia kufanya application za Muhas akakuta taarifa "ndugu '__' hujachaguliwa kujiunga na chuo Cha Muhimbili round 1" Hilo Jambo limeniogopesha Sana ukizingatia jamaa ana one ya point 5, dah!
Wakuu naombeni kufahamishwa njia nyingine ya kuzitazama hizi selection kwasababu Mimi nimejaribu kulogin kwenye account yangu sijakuta taarifa yoyote inayohusiana na selection, maybe utaratibu kuwa upoje miaka mingne.
Maana wanamuandikia username not found. Tatizo itakuwa ni system nadhani.Namba ya mtihani ya form four na mwaka alomaliza yaani S1___/0___/2020,
MD kwa hela yake imekaa vibaya. Labda uwe unazo hasa. Watu wanakimbilia mkopo.Mzazi makini hapaswi kuwaza muhimbili tu.
Katika nchi jirani zinazotuzunguka Kuna vyuo vikuu kibao vina ranking ya juu kuliko muhimbili tena ada zake hazitishi sana.
MD ya makerere ina nguvu kuliko ya muhas kwenye world ranking
MD ya university of zambia ina nguvu kuliko muhas
MD ya university of Malawi ina nguvu kuliko muhas
MD ya university of nairobi ina nguvu kuliko muhas
University of rwanda pia ina Md yenye nguvu sana.
Wazazi wengi siku hizi wanalipa ada mamilioni toka chekechea na sekondari wanalipa mamilioni huko marian, st francis, tusiime ama feza.
Ila cha kushangaza vyuo wanategemea vya ndani yetu tu.
Ukienda kusoma kwenye top public university za nchi zinazotuzunguka tu unakuwa na degree kali sana ya medicine kuliko ya muhas.
Mwaka huu boys mwisho ni 1.4Wakuu!