Yajayo_yanafurahisha
Senior Member
- Jul 29, 2020
- 156
- 401
Ila maisha muda mwingine unapanga hili na Mungu anapanga...nilitamani engineering nikapata Div3 - 2010, nikaambulia computer science ifm na sasa nipo kwenye taasisi kubwa tu na maisha yanaendelea 😁Mwaka huu Hadi teku itachukua one!
Wenye two wengi hampati vyuo
Mtoa Mada
Omba mapenzi ya Mungu yatimizwe kwako hiko ndo cha msingi