financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Kwani selection tayari wakuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nayo sasa uone utavonyapapaliwa
Nadhani walikuwa wamejisahau. Japo selection hazijatoka lakini Jana ilikuwa ukiingia kwenye account ya mtu unakuta feedback Ila saizi zinakataa kufunguka nadhani Hadi tarehe 25
View attachment 2721874
Jamaa alipanic akawapigia cm wakamhakikishia kuwa ni kweli Ila mchujo Bado unaendeleaNadhan ni mtandao maana jana Ndo ilikuw siku ya submission so mwambie ur friend asijal anawez kupata
Jamaa alipanic akawapigia cm wakamhakikishia kuwa ni kweli Ila mchujo Bado unaendelea
Ogopa sana Chief hii kitu ya sup 3 ....🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤣TCU wanakupangia muhas ila muhas kuna vigezo vyaooo...so watachaguaa maselulee wanawarudisha tcu alafu wanaoona wanastahili wanapita round 2...alafu kuna round 3 ukifika chuo ukipata sup zaidi ya 3 unarudi kijijini kwenu kulimaaa😀😀😀muhas shule hiyo
Imerahisishwa sana tena saaana sasa hivi huwezi kufananisha na 2010 huko elimu imekua rahisi sanaHaijarahisishwa mkuu ila imeboreshwa hasa kwa private school ila madogo wa Asante mkapa Bado wanaendelea kufeli mkuu
Hapana , mkuu nakukatalia Sana , maana hata past papers za miaka ya 2010 tunaona zilikuwa simple, unakuta mtihani una maswali 10 eti uchague matano halafu yote ni content based sio competent based, saizi maswali sita unachagua matano halafu ni competency yaani.Imerahisishwa sana tena saaana sasa hivi huwezi kufananisha na 2010 huko elimu imekua rahisi sana
Hapana , mkuu nakukatalia Sana , maana hata past papers za miaka ya 2010 tunaona zilikuwa simple, unakuta mtihani una maswali 10 eti uchague matano halafu yote ni content based sio competent based, saizi maswali sita unachagua matano halafu ni competency yaani.
For sure.Siku hizi kufeli ni uzembe wako.
Internet ina kila kitu
Kuna walimu wazuri kibao wa kila somo wapo youtube na website zingine za academic
Video za Practical zote zipo youtube
Kozi gan?Wakuu!
Jamaa angu ka login kwenye account yake aliyotumia kufanya application za Muhas akakuta taarifa "ndugu '__' hujachaguliwa kujiunga na chuo Cha Muhimbili round 1" Hilo Jambo limeniogopesha Sana ukizingatia jamaa ana one ya point 5, dah!
Wakuu naombeni kufahamishwa njia nyingine ya kuzitazama hizi selection kwasababu Mimi nimejaribu kulogin kwenye account yangu sijakuta taarifa yoyote inayohusiana na selection, maybe utaratibu kuwa upoje miaka mingne.
Muhimbili ni namba moja East africa na Ya tatu africa , sjui umeandika nini wewe jamaaMzazi makini hapaswi kuwaza muhimbili tu.
Katika nchi jirani zinazotuzunguka Kuna vyuo vikuu kibao vina ranking ya juu kuliko muhimbili tena ada zake hazitishi sana.
MD ya makerere ina nguvu kuliko ya muhas kwenye world ranking
MD ya university of zambia ina nguvu kuliko muhas
MD ya university of Malawi ina nguvu kuliko muhas
MD ya university of nairobi ina nguvu kuliko muhas
University of rwanda pia ina Md yenye nguvu sana.
Wazazi wengi siku hizi wanalipa ada mamilioni toka chekechea na sekondari wanalipa mamilioni huko marian, st francis, tusiime ama feza.
Ila cha kushangaza vyuo wanategemea vya ndani yetu tu.
Ukienda kusoma kwenye top public university za nchi zinazotuzunguka tu unakuwa na degree kali sana ya medicine kuliko ya muhas.
Ukiona hamna ujumbe maana yake umechaguliwa , nitafute inbox mimi ni kiongozi hapa muhimbili ndo ntakayewapokea.Ndiyo wamaendika tarehe 25, lakini nashangaa kwenye baadhi ya account za watu uki login unakuta ujumbe moja kwa moja kwamba hujachaguliwa, sijui imekaaje hii
Kubwabwaja tu hakutoshi kujustify unachokisema. Hebu weka references za rankings za md za hivyo vyuo ulivyovitaja tujiaminisheMzazi makini hapaswi kuwaza muhimbili tu.
Katika nchi jirani zinazotuzunguka Kuna vyuo vikuu kibao vina ranking ya juu kuliko muhimbili tena ada zake hazitishi sana.
MD ya makerere ina nguvu kuliko ya muhas kwenye world ranking
MD ya university of zambia ina nguvu kuliko muhas
MD ya university of Malawi ina nguvu kuliko muhas
MD ya university of nairobi ina nguvu kuliko muhas
University of rwanda pia ina Md yenye nguvu sana.
Wazazi wengi siku hizi wanalipa ada mamilioni toka chekechea na sekondari wanalipa mamilioni huko marian, st francis, tusiime ama feza.
Ila cha kushangaza vyuo wanategemea vya ndani yetu tu.
Ukienda kusoma kwenye top public university za nchi zinazotuzunguka tu unakuwa na degree kali sana ya medicine kuliko ya muhas.
Hakuna kitu kama hicho hata wa 2003 atakuona wewe wa 2010 umepata kitongaImerahisishwa sana tena saaana sasa hivi huwezi kufananisha na 2010 huko elimu imekua rahisi sana
Kwani wewe na huyu jamaa yako mmefanana kuomba kozi? ...kwanini majibu ya mwenzako yakuchanganye wewe?Wakuu!
Jamaa angu ka login kwenye account yake aliyotumia kufanya application za Muhas akakuta taarifa "ndugu '__' hujachaguliwa kujiunga na chuo Cha Muhimbili round 1" Hilo Jambo limeniogopesha Sana ukizingatia jamaa ana one ya point 5, dah!
Wakuu naombeni kufahamishwa njia nyingine ya kuzitazama hizi selection kwasababu Mimi nimejaribu kulogin kwenye account yangu sijakuta taarifa yoyote inayohusiana na selection, maybe utaratibu kuwa upoje miaka mingne.
Sio "zaidi ya 3"...ni zikifika Tatu ndani ya mwaka mmoja wa masomoTCU wanakupangia muhas ila muhas kuna vigezo vyaooo...so watachaguaa maselulee wanawarudisha tcu alafu wanaoona wanastahili wanapita round 2...alafu kuna round 3 ukifika chuo ukipata sup zaidi ya 3 unarudi kijijini kwenu kulimaaa😀😀😀muhas shule hiyo
Wazeee wakikulamba kichwaa hawageuki Nyumaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ogopa sana Chief hii kitu ya sup 3 ....[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787]