Selection za Muhimbili (MUHAS) zinanichanganya sana

Mwaka huu Hadi teku itachukua one!

Wenye two wengi hampati vyuo
Ila maisha muda mwingine unapanga hili na Mungu anapanga...nilitamani engineering nikapata Div3 - 2010, nikaambulia computer science ifm na sasa nipo kwenye taasisi kubwa tu na maisha yanaendelea 😁
Mtoa Mada
Omba mapenzi ya Mungu yatimizwe kwako hiko ndo cha msingi
 
Unavuta maokoto boss.

Dogo anataka kuitwa Dr Herman.
 
Mimi nikitaka nimpeleke wa kwangu Uganda lakini bahati mbaya nikaambiwa application walishafunga tangu mwezi Juni. Sasa hapa nawaza sijui huyo dogo itakuwaje!
 
Chuo cha afya sio kimoja mdogo angu omba ata Udom
 
Mimi nikitaka nimpeleke wa kwangu Uganda lakini bahati mbaya nikaambiwa application walishafunga tangu mwezi Juni. Sasa hapa nawaza sijui huyo dogo itakuwaje!

Kama anapenda MD na hawezi kusubiri mwaka mpeleke zanzibar

The State University of Zanzibar - School Of Health And Medical Sciences.

TCU na hata waajiri wa dunia nzima hawana hofu na cheti cha flagship Public university ya nchi yoyote.
 
Mkuu hiyo Ni Top Ten ya Universities in Sub sahara Africa, hii ni list ya 2023.
 
Ninashukuru sana mkuu kwa uchambuzi huu murua
 
View attachment 2721631
Mkuu hiyo Ni Top Ten ya Universities in Sub sahara Africa, hii ni list ya 2023.

Acha ujinga wewe. Unaamini muhas ni bora kuliko university of capetown ?

Unaamini muhas ni bora kuliko makerere university ?

Unaamini muhas ni bora kuliko university of pretoria ?

Weka ranks zinazoeleweka.

Best university in Africa ni UCT. Hata ukigoogle majibu yatakuja zaidi ya 1000 yanaitaja UCT
 
MSHAURI ASIWAZE MUHAS , AWAZE KWINGINE , BUGANDO , KCMC , MAANA HAPO MUHAS HUWA WANA KAZA SANA KWENYE. MASOMO , WENGI WANA LIWA VICHWA ASEEEE NA WANI ZAO KALI
 
MSHAURI ASIWAZE MUHAS , AWAZE KWINGINE , BUGANDO , KCMC , MAANA HAPO MUHAS HUWA WANA KAZA SANA KWENYE. MASOMO , WENGI WANA LIWA VICHWA ASEEEE NA WANI ZAO KALI
Unamaanisha MD ya pale ni ngumu kuliko kwingine
 
Njoo nayo sasa uone utavonyapapaliwa
 
Mbona taarifa ya selection wametoa ni tarehe 25/08
 
Attachments

Inabidi uwe na 1 ya 3 hizo 5 zipo km uchafu zimetapakaa, elimu yenu imerahisishwa ukifeli kipindi hiki wewe ni zaidi ya sifuri
Haijarahisishwa mkuu ila imeboreshwa hasa kwa private school ila madogo wa Asante mkapa Bado wanaendelea kufeli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…