Selection za Muhimbili (MUHAS) zinanichanganya sana

Njoo nayo sasa uone utavonyapapaliwa

Utanyanyapaliwa na nani ?

TCU hawapendi vyuo vya nje vya private sababu vingi janja janja.

Wabongo wengi wanaoenda kusoma nje huwa wanaenda vyuo vya magumashi. Ndio maana wakija bongo wananyanyapaliwa.

Mfano wabongo kibao wamesoma india na wanaenda kusoma kila mwaka..ila katika wote hakuna hata mmoja aliyewai kusoma top public university in india.

Mfano Nitafutie mtu mtanzania aliesoma ama anaesoma chuo bora india na asia nzima ( India institute of technology)

Mkurugenzi mkuu wa muhimbili Janabi digrii zake zote kasoma nje ya nchi mbona hajanyanyapaliwa ?
 
Aisee Naomba niwashauri walomaliz six wny two 12 pcb au wale wasio na C of chemistry

Ningewashaur tu kama una ndoto za kusoma afya kuwa nurse doctor pharmacist or medical lab etc
Ni bora ujiendee mapema diploma
Kwa ushaur tu
Msiseme hatujawaambia
 
Nadhani walikuwa wamejisahau. Japo selection hazijatoka lakini Jana ilikuwa ukiingia kwenye account ya mtu unakuta feedback Ila saizi zinakataa kufunguka nadhani Hadi tarehe 25
 
Nadhan ni mtandao maana jana Ndo ilikuw siku ya submission so mwambie ur friend asijal anawez kupata
Jamaa alipanic akawapigia cm wakamhakikishia kuwa ni kweli Ila mchujo Bado unaendelea
 
Ogopa sana Chief hii kitu ya sup 3 ....πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ€£
 
Imerahisishwa sana tena saaana sasa hivi huwezi kufananisha na 2010 huko elimu imekua rahisi sana
Hapana , mkuu nakukatalia Sana , maana hata past papers za miaka ya 2010 tunaona zilikuwa simple, unakuta mtihani una maswali 10 eti uchague matano halafu yote ni content based sio competent based, saizi maswali sita unachagua matano halafu ni competency yaani.
 

Siku hizi kufeli ni uzembe wako.

Internet ina kila kitu

Kuna walimu wazuri kibao wa kila somo wapo youtube na website zingine za academic

Video za Practical zote zipo youtube
 
Siku hizi kufeli ni uzembe wako.

Internet ina kila kitu

Kuna walimu wazuri kibao wa kila somo wapo youtube na website zingine za academic

Video za Practical zote zipo youtube
For sure.
 
Kozi gan?
 
Muhimbili ni namba moja East africa na Ya tatu africa , sjui umeandika nini wewe jamaa
 
Kubwabwaja tu hakutoshi kujustify unachokisema. Hebu weka references za rankings za md za hivyo vyuo ulivyovitaja tujiaminishe
 
Kwani wewe na huyu jamaa yako mmefanana kuomba kozi? ...kwanini majibu ya mwenzako yakuchanganye wewe?
Sijaangalia website yao, but naamini wanaweza kuwa wameweka list ya waliochaguliwa. (Pia log in vizuri uangalie akaunti yako..kama mwenzako ameona,lazima kwa akaunt waseme kitu)
 
Sio "zaidi ya 3"...ni zikifika Tatu ndani ya mwaka mmoja wa masomo
 
Ogopa sana Chief hii kitu ya sup 3 ....[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787]
Wazeee wakikulamba kichwaa hawageuki Nyumaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…