Ila maisha muda mwingine unapanga hili na Mungu anapanga...nilitamani engineering nikapata Div3 - 2010, nikaambulia computer science ifm na sasa nipo kwenye taasisi kubwa tu na maisha yanaendelea [emoji16]
Mtoa Mada
Omba mapenzi ya Mungu yatimizwe kwako hiko ndo cha msingi
[emoji28][emoji28][emoji28]
Muhas hawaingii vilaza,ukiona hujachaguliwa muhas jua wewe ni kilaza[emoji28][emoji28],anyway vyuo vipo vingi sana jaribuni kwengine.
Leo naona uko log in inafunguka ila cpati feedback yoyoteHapana mkuu, wameyafunga Tena , wanadai Hadi tarehe25, kwahiyo ukijaribu ku login unaambiwa incorrect login