mtz kwanini lakini unapenda kupotosha ukweli, suala peers na gharama zake za kesi unaweza kuzilinganisha na billioni zetu za umeme na maafa yake kiuchumi na hizo gharama za kesi.SteveD,
Hapana, sio kwenye makampuni tu bali hata serikali. Mfano ni hapa UK kwenye money for peerages na Blair. Kulikuwa na ushahidi lakini prosecutor akaona uwezo wa kushinda ni mdogo, akaamua kuiachia case.
Hicho ndio ninachoongelea mimi, ni tofauti na kuwaachia wahalifu ambao wamehukumiwa au kutumia pesa nyingi kumhukumu na kumfunga mhalifu. Kama unaona uwezo wa kumfunga ni mdogo, ni bora kutumia hizo pesa kwenye mambo ya maana.
Kama tumekubali suala la akina RA mwamuzi ni JK, ifike mahali tumwachie yeye na sisi wananchi tutoe hukumu yetu 2010.
Hili la peerage ukililinganisha na suala la Posho mara mbili nitakuelewa, lakini sio hili la Richmond na Mikataba mingine inayo hushusiana na Hii au uhujumu uchumi tena wa taifa changa kama tanzania.
haya mahesabu ya u-engineer yatakuwa questionable sasa, labda ikiwa hizo hesabu zimeingiliana na siasa.