Seleman Mwalimu anakwenda kuchezea klabu namba 3 Afrika, Mzize yupo anabangaiza klabu namba 12

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Dunia haina fair,Seleman Mwalim kasajiliwa na Wydad club namba 3 Africa huku Mzize akibangaiza na timu namba 12 .

Nafasi waliyomnyima Yanga Mzize ndo hiyo aliyochukua Seleman Mwalimu ,bahati haiji mara mbili tumempata Ajibu wa pili.
 
Wangesikia Simba wanataka kumsajili tungesikia mashabiki wa utopolo wakilalami kwanini asiende njekucheza soka la kulipwa
 
Hivi kwanini mbumbumbu ndio hua mna uchungu sana na wachezaji wa Yanga?
Tunatetea watanzania popote walipo bila kujali wapo Uto au Singida black stars.Ulishaona tunahangaika na Aziz Ki au Pacome? Tunajua nyinyi Uto ni waswahili,mnawachukulia wachezaji wenu wazawa Kiswahili Swahili ndio maana enzi hizo mlimficha Ngasa alipotaka kusajaliwa na El Merreikh.
 
Dah umekumbuka hii mkuu,...wale waarabu walikuja wakazurula sana daslam wanamtafuta ngasa..
Nakumbuka baba yake alihojiwa redio one na kitenge alilalamika sana mwanae kukucha Lile Dili.
 
Back
Top Bottom