joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Unajua kabla ya Kurenew offer zilikuwa zinakuja mnazikataa na hata hiyo timu ya Sweden walimtumia barua za nyuma,wakati akiwa kwenye mkataba na bado kuna offer zilikuja za kimsajili moja kwa moja na za majaribia akiwa ndani ya mkataba wa timu yenu mlikataa zote. Ndio chanzo cha Kibu kuondoka na itafuta interview ya meneja wa Kibu alifanya n Wasafi ni kiipata nitakuwekea ,ila Kibu mlikuwa mnamkomalia tokea akiwa ndani ya mkataba.Kibu alikuwa ndo ka-renew mkataba ndo wapo likizo,uanendaje kufanya jaribio wakati hukutoa taarifa kwa timu yako?bahati mbaya kwenye majaribio akafeli pia waliwaandikia ila timu iliyotaka kumchukua kwamba ana mkataba halali, kama wanataka wauvunje,ile timu kuona Kibu ana mkataba na Simba wakamwacha,lakini angetumia njia sahihi wala kusingekuwa na tatizo wangemwachia tu