Seleman Mwalimu anakwenda kuchezea klabu namba 3 Afrika, Mzize yupo anabangaiza klabu namba 12

Seleman Mwalimu anakwenda kuchezea klabu namba 3 Afrika, Mzize yupo anabangaiza klabu namba 12

Mzize ameridhika na supu jangwani 🄣
 
Mnaumia Mzize anavyo cheza Yanga.
Vijana hawawezi kupiga hatua mnataka wafe na vipaji kwenye club isiyo na mbele wala nyuma,Msuva ilikuwa hivo hivo mkataba ulipoisha ndo akafanikiwa kuondoka
 
Tunatetea watanzania popote walipo bila kujali wapo Uto au Singida black stars.Ulishaona tunahangaika na Aziz Ki au Pacome? Tunajua nyinyi Uto ni waswahili,mnawachukulia wachezaji wenu wazawa Kiswahili Swahili ndio maana enzi hizo mlimficha Ngasa alipotaka kusajaliwa na El Merreikh.
Kuna watanzania wangapi wanao hitaji kupambaniwa au ni Mzize peke yake?
 
Vijana hawawezi kupiga hatua mnataka wafe na vipaji kwenye club isiyo na mbele wala nyuma,Msuva ilikuwa hivo hivo mkataba ulipoisha ndo akafanikiwa kuondoka
Baba yake Samata anadai nyie mlikuwa hamtaki Samata aondoke,baada ya yy na mwanae na baadhi ya wadau kulazimisha ndio Samata akaenda Mazembe. Sasa sijui mlikuwa mnataka aendelee kula chapati za masimango za Kaduguda.
 
Dunia haina fair,Seleman Mwalim kasajiliwa na Wydad club namba 3 Africa huku Mzize akibangaiza na timu namba 12 .

Nafasi waliyomnyima Yanga Mzize ndo hiyo aliyochukua Seleman Mwalimu ,bahati haiji mara mbili tumempata Ajibu wa pili.
Kasajiliwa kwa mshahara wa shingapi? Milioni 6.5 si Bora angebaki bongo tu, ukitoa makato ya Kodi anabaki na shingapi? Kuna vitu vingi unapaswa kuangalia kwenye usajili sio ilimradi umesajiliwa,,Mzize mwisho wa msimu anauzwa kwa dau kubwa mlitaka auzwe dirisha hili alafu yanga wangepata wapi replacement yake ya uhakika? Dirisha kubwa unapata replacement yake kwakuwa unakuwa ushafanya scouting sio kuuza tu ilimradi!
 
Sasa watu waliletwa Manzoki kwenye uchaguzi akili watoe wapi
 
Sisi haturembagi,tuliwauza Miquison ,Chama ,Sakho, na Rally Bwalya na walikuwa kwenye pick,hawa wenzetu wanawanyima fursa wachezaji
Walipomsajili Ajib toka Simba walichekelea Ila Simba walipomrudisha wakaanza kulalamika wakiongozwa na kocha wao Boo Ajib anatakiwa kwenda Mazembe.
 
Rais wa utopolo anabania vijana kupata fursa, mjinga sana, duniani kote hakuna mchezaji asiyeuzwa lenyewe linabana kwa misifa ya kijinga
 
Back
Top Bottom