Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika trash mkuu."Seleman Mwalim anaenda kucheza club namber 3 Africa Mzize anabangaiza club numba 12".
Mama zenu wanacheza club namba ngapi hapo kujijini kwenu?
Mnaumia Mzize anavyo cheza Yanga.Dunia haina fair,Seleman Mwalim kasajiliwa na Wydad club namba 3 Africa huku Mzize akibangaiza na timu namba 12 .
Nafasi waliyomnyima Yanga Mzize ndo hiyo aliyochukua Seleman Mwalimu ,bahati haiji mara mbili tumempata Ajibu wa pili.
Sisi haturembagi,tuliwauza Miquison ,Chama ,Sakho, na Rally Bwalya na walikuwa kwenye pick,hawa wenzetu wanawanyima fursa wachezajiWangesikia Simba wanataka kumsajili tungesikia mashabiki wa utopolo wakilalami kwanini asiende njekucheza soka la kulipwa
Kuna watanzania wangapi wanao hitaji kupambaniwa au ni Mzize peke yake?Tunatetea watanzania popote walipo bila kujali wapo Uto au Singida black stars.Ulishaona tunahangaika na Aziz Ki au Pacome? Tunajua nyinyi Uto ni waswahili,mnawachukulia wachezaji wenu wazawa Kiswahili Swahili ndio maana enzi hizo mlimficha Ngasa alipotaka kusajaliwa na El Merreikh.
Mzize bado ana ndoa hapo jangwani acheni aitumikie.Mzize atafute wakala anaĆØjitambua sifa mapenzi na heshima na klabu vipo ila mafanikio ya ndani na nje ya uwanja ni muhimu sana
Hizo juhudi mngezifanya kwa Kibu alipo pata timu njeVijana hawawezi kupiga hatua mnataka wafe na vipaji kwenye club isiyo na mbele wala nyuma,Msuva ilikuwa hivo hivo mkataba ulipoisha ndo akafanikiwa kuondoka
So anacho fanya jirani yako na wewe lazima ufanye?Sisi haturembagi,tuliwauza Miquison ,Chama ,Sakho, na Rally Bwalya na walikuwa kwenye pick,hawa wenzetu wanawanyima fursa wachezaji
We jamaa nimecheka hadi kupaliwa kwa hiyo ID yako na picha kwenye DP yako.Mzize atafute wakala anaĆØjitambua sifa mapenzi na heshima na klabu vipo ila mafanikio ya ndani na nje ya uwanja ni muhimu sana
Aiseeeee wana JF na Majibu yenu. ššššHizo juhudi mngezifanya kwa Kibu alipo pata timu nje
Baba yake Samata anadai nyie mlikuwa hamtaki Samata aondoke,baada ya yy na mwanae na baadhi ya wadau kulazimisha ndio Samata akaenda Mazembe. Sasa sijui mlikuwa mnataka aendelee kula chapati za masimango za Kaduguda.Vijana hawawezi kupiga hatua mnataka wafe na vipaji kwenye club isiyo na mbele wala nyuma,Msuva ilikuwa hivo hivo mkataba ulipoisha ndo akafanikiwa kuondoka
Kasajiliwa kwa mshahara wa shingapi? Milioni 6.5 si Bora angebaki bongo tu, ukitoa makato ya Kodi anabaki na shingapi? Kuna vitu vingi unapaswa kuangalia kwenye usajili sio ilimradi umesajiliwa,,Mzize mwisho wa msimu anauzwa kwa dau kubwa mlitaka auzwe dirisha hili alafu yanga wangepata wapi replacement yake ya uhakika? Dirisha kubwa unapata replacement yake kwakuwa unakuwa ushafanya scouting sio kuuza tu ilimradi!Dunia haina fair,Seleman Mwalim kasajiliwa na Wydad club namba 3 Africa huku Mzize akibangaiza na timu namba 12 .
Nafasi waliyomnyima Yanga Mzize ndo hiyo aliyochukua Seleman Mwalimu ,bahati haiji mara mbili tumempata Ajibu wa pili.
Sasa watu waliletwa Manzoki kwenye uchaguzi akili watoe wapiKasajiliwa kwa mshahara wa shingapi? Milioni 6.5 si Bora angebaki bongo tu, ukitoa makato ya Kodi anabaki na shingapi? Kuna vitu vingi unapaswa kuangalia kwenye usajili sio ilimradi umesajiliwa,,Mzize mwisho wa msimu anauzwa kwa dau kubwa mlitaka auzwe dirisha hili alafu yanga wangepata wapi replacement yake ya uhakika? Dirisha kubwa unapata replacement yake kwakuwa unakuwa ushafanya scouting sio kuuza tu ilimradi!
Walipomsajili Ajib toka Simba walichekelea Ila Simba walipomrudisha wakaanza kulalamika wakiongozwa na kocha wao Boo Ajib anatakiwa kwenda Mazembe.Sisi haturembagi,tuliwauza Miquison ,Chama ,Sakho, na Rally Bwalya na walikuwa kwenye pick,hawa wenzetu wanawanyima fursa wachezaji
Shida siyo wakala shida ipo kwa timu inayommiliki,Mzize atafute wakala anaĆØjitambua sifa mapenzi na heshima na klabu vipo ila mafanikio ya ndani na nje ya uwanja ni muhimu sana