Uchaguzi 2020 Selemani Bungala (Bwege) asema Magufuli hakushinda kihalali. Atolea mfano wa aliyoshuhudia katika vituo viwili jimboni kwake

Ushindi hata kama ulikuwepo ulikuwa mwembaba kama karatasi ila ulikuzwa kupita kiasi…..wametumia kipeuo
 
Hapa kuwa na uchaguzi ilikuwa ni aibu tupu ya taifa
Imekwisha hiyo, jipange upya. Utakalia kulia lia nyuma ya keyboard haitakusaidia, anza kuchapa kazi we muntu ya babati. Anza kulima maharage upeleke kuuza viwandani, maana ile ndoto ya tanzania ya viwanda inatimia chini ya jemedali wetu TZ 2020 JPM

Kwa taarifa yako mwaka huu gase ya HELIUM ya mkoani Rukwa, tunatarajia kupiga bingo ya kidunia. Yale matatizo eti watumishi hawajaongezewa mishahara kwa uongozi wa JPM nyongeza itakwa 100% increment. Mambo ni mengi muda mchache, nenda kalime babati
 
Endelea kushabikia siment 25 kwa wote
 
Ukiondoa tomato na chili huwezi kushindwa kula chips ,,,hivyo n vionjo tu kama alipt kura 70 kwa 67 s bado alishinda
 
Waliokaa mwanzo hadi mwisho ni less than 20% tena vituo random ssa unapataje picha halisi?
Hvi jiulize kivp kawe wapiga kura ya urais wawe zaidi ya kura za ubunge kwa gap 100k?

Maeneo kma busega wote tuliona hpa wapiga kura walizidi waliojiandikisha.

Uzuri Lissu alisema siku moja kabla ya uchaguzi kuwa JPM atapewa kura 12M.... Na ikawa hivyo.

Umekaa nyuma ya keyboard alafu unadai mawakala wapo kimya? Ulienda kuwahoji? Embicile
 
Atuwekee alizopata siyo analeta porojo
 

ALFU LELA U LELA ....
 
"Nyie watu wa Rufiji mna matatizo badala mchague Mbunge unachagua Bwege ,Bwege atawasaidia nini badala ya kuleta ubwege maana naona hapa hakuna alichofanya hata kujenga choo tu cha stand kwa pesa za jimbo ameshindwa "by JPM
Hii inaonesha kwa kiasi gani CCM haikubaliki huko kusini.
 
"Hivi vitu viko wazi kama vazi la kahaba
Nasambaza maradhi, halafu nakupa siku saba"

Dogo "Mwanaharamu" Hashimu - Shadow of a Dark Destiny

 
Na leo tumepata aibu nyingine ya waziri mkuu ambaye hakuchaguliwa na wananchi kabisa wa jimbo lake...hii haijawahi kutokea kabisa kupata waziri ambaye hakupigiwa kura hata moja
 
Hii aibu CCM watatembea nayo kwa miaka mingi sana ijayo.
Acheni ubwege nyie

Unataka kusema hicho alichozungumza bwege ndio concrete evidence?

Hana tofauti na yule aliyeona mabegi ya kura kwa mdomo
 
Mimi nilikuwa msimamizi kuna njia tatu zilitumika kuongeza kura.
Usibishe vitu usivyovijua
 
Kuna mtu huko juu kaandika kuwa kiwango cha kura za Jiwe kwenye kituo zilitegemea kiwango cha Ukatili wa msimamizi wa kituo 😁!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…