Sidanganyagi halafuNa nisipotubu?
Emu acha kutafuta excuse
Nikumbuke kwenye ufalme wako
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nimepost picha yangu mimi mwenyewe.Safi sana.
Mwanamke msimamo. [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Kaza hapo hapo hadi alie.
Nitaweka siku nikiwa kwenye hotel nzuri, haya mazingira ya nilipo background haisomi vizuri.
Mimi siwezi kupost picha yangu huku.Ujue ni mekuchelewa nimekuta story tu picha ushasepeaha.
Inategemea na kama picha utakayoweka humu itashinda.
Angalia vizuriMbona sijakuona
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nimepost picha yangu mimi mwenyewe.
Kwa sababu ipo kwenye mtandao haina maana kwamba sio mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hembu tuone yako kwanza
Univunjishe kabati halafu bado isishinde akuuu babu weee
😂😂 emu weka nilinganisheNaona Changu kimezidi[emoji23][emoji23][emoji23]
Safi sana.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nimepost picha yangu mimi mwenyewe.
Kwa sababu ipo kwenye mtandao haina maana kwamba sio mimi.
SijakuonaYani mnanikumbusha utotoni kabsaaa ha ha haa ikiwa ni wadada wa makamu ntacheka sana
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].Hahaha umewaweza mabaharia
Ila mii ulinionaMimi siwezi kupost picha yangu huku.
Hazikuwa zangu.
Fanya lobbying, nitumie kwanza PM nizithaminishe halafu nichague utume ipi niipe ushindi moja kwa moja
Haaaaa I knew this LOL....
The two pictures were totally different.
Yaani nifanye mtihani naojua kabisa nitafeli!! Bora nisifanye tu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Wakiona umepost mbaya hawajisumbui kugugo. Post nzuri sasa sever zinakuwa busy.
Super fine