Selfika na JF: Snap it. Show it

Aiseee umenichekesha sana tena hapo unaposema "huyo ni mimi nimenenepa" " yaani.....
Nakumbuka juzi kati nimeonana na mtu ananiambia kuwa eti nimetumia mchina, nafikiri kuzaa nako kuna sehemu maumbo yanapanuka ila shost tuambie hilo flat tumbo unalimaintain veep.
Umefuraaaaaahi mwenyewe.
Huyo ni mimi nimenenepa sasa hivi.
 
Safi sana.
Yaani utafute picha yako upost halafu mtu aseme sio wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nachekajee kama fala yani

Umenikumbusha tukiwa wadogo tulikuwa tunachagua magari barabarani. Mnakubaliana itakayokuja ni ya huyu, itakayofata ni ya mwingine.

Sasa kuna muda linakuja gari zuri sana mnaligombania, na ngumi zinapigwa, mtu akiuliza kwa nini mnagombana yule mwenye haki anasema wanataka kuninyanganya gari langu…!
 

Hata Mimi nilikuwa mwembamba kipindi nimekutana na Manga ML .
Ila sasa hivi nimezaa nimenenepa kama ninavoonekana kwenye hiyo picha.
Kuhusu tumbo kuwa flat ni mwili wangu tuu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Akikujibu unistue nimpelekee wife ufundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…