Hivi uwa unanivizia nizime data sio?Huh
Kwani haijafutika
Ili usiikuteeMbona sasa umefuta
Tutaisoma nambaBeing me
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi uwa unanivizia nizime data sio?
Wewe mkubwa huogopiii dada kachukue mabegi
Hahaha weka mda unaendaUlinijulia wapi wewe mwenye mshipa wake?
Itume basi kule PMIli usiikutee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sitakugombeza[emoji23][emoji23]ila tu usiwe unatetea ujinga wa haya mafurushi ya humu JF[emoji1787][emoji1787]sawa eenh??
Nilienda kupika 😕[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wewe kwa nini uzime data?!
Tangu nimeanza kumsoma huku.Sana yaani kaka Collins namuelewa sana.
AmenHallelujah
Basi mdogo wangu nisamehe mimi jamaniSawa dada
Sasa mbona ushaanza nigombeza mimi
Basi abaki na mabegi yake tuu jamaniMimi nawahi nyumbani kukupikia mdogo wangu usilale njaa.
hahahahTutaisoma namba
Nini tena jamani.Mmmhhh
Uifanye nini eti jamaniItumr basi kule PM
Uzi utafutwa siwekiHahaha weka mda unaenda
Nikiweka picha yangu hapa mtaacha hadi kunikwoti. Nilivyo mbaya.
Nakuzoom tuu jamaniNini tena jamani.
Mimi nipo pm natuma picha wewe kachukue mabag, tunagawana majukumu.