Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Endele kusubiri Mungu Huwa pamoja na wenye subra mapenzi stress tupu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ngoma ipo hivi ukiwa single , hkuna mawazo sijui nimkubalie huyu .

wanaume wote hawakuoni ile umepata tu baby unajikuta upo kwenye dilemma kaja tena mwingine , wote unawataka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Pamoja na yote lazma kutakua na mmoja
Atakaye vumiliwa na hzo stires๐Ÿ˜‚
Afunge mkanda kwelikweli siku moja anaongea njiani pekeyake siku mojamoja atalewa,siku zingine ataenda kusalimia nyumbani anakaa mwezi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚akishtuka miaka ishaenda ametimiza agizo la Mungu
 
Kuna wakat nlikaa single!
Ila kila mwanamke nlimuona mzuri had wamama๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ upweke hapana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ngoma ipo hivi ukiwa single , hkuna mawazo sijui nimkubalie huyu .

wanaume wote hawakuoni ile umepata tu baby unajikuta upo kwenye dilemma kaja tena mwingine , wote unawataka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Yaani Kuna watu vishetani fulani hivi Sijui wakoje Ukiwa single wanakuona kama Bata tu Kosa upate Mpenz wanaanza usumbufu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kuna wakat nlikaa single!
Ila kila mwanamke nlimuona mzuri had wamama๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ upweke hapana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Utakuja kufa bro kilamtu unaona mzuri Zaid ya mwingine๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Utakuja kufa bro kilamtu unaona mzuri Zaid ya mwingine๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Acha kabisa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kila alie mbele yako unamuona mzur yaan unaeza gongwa barabaran Kwa kugeuka kuangalia mliepishana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yaani Kuna watu vishetani fulani hivi Sijui wakoje Ukiwa single wanakuona kama Bata tu Kosa upate Mpenz wanaanza usumbufu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ah wanakera aiseee
Hivi walikuwa wapi

Sasa mtu kama mie siwezi kutoka na watu wawili, lazima nimbwge mmoja .

Nahisii ukiwa na baby unaonekana maana lazima uvutie muda wrote
 
Back
Top Bottom