Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Mbaba wa nje ,sitafuti kwanza ๐๐๐mbona unajing'ata๐ si umesema unataka mubaba??
Mbaba wa nje ,sitafuti kwanza ๐๐๐mbona unajing'ata๐ si umesema unataka mubaba??
KumbeeHapaana aisee
Humu siwawezi
Kwanza naupenda usingle , hupati mawazo ๐๐๐
๐๐Labda lkn ni kuwekana majaribuni tu ๐๐Ah wanakera aiseee
Hivi walikuwa wapi
Sasa mtu kama mie siwezi kutoka na watu wawili, lazima nimbwge mmoja .
Nahisii ukiwa na baby unaonekana maana lazima uvutie muda wrote
una maanisha mzungu??Mbaba wa nje ,sitafuti kwanza ๐๐๐
Habari yakoKumbee
๐Ooh hongera Mimi siwez kuwa single mda mrefu napenda kupendana Yani najisikia ufahari kumpenda mtu siachi had mapenz yaniue ๐๐๐Hapaana aisee
Humu siwawezi
Kwanza naupenda usingle , hupati mawazo ๐๐๐
Mapenzi matamu banaa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐!Endele kusubiri Mungu Huwa pamoja na wenye subra mapenzi stress tupu ๐๐๐
Subir kindogo huo usingo utaukataa mwenyewe soon Tu๐๐Hapaana aisee
Humu siwawezi
Kwanza naupenda usingle , hupati mawazo ๐๐๐
Ni tatizoBora kupambana na vyote
Sema upweke n tatzo Zaid ukizidisha๐๐
๐๐๐๐una maanisha mzungu??
Asikwambie mtu kwanza kufa nje nje mbinguni sijui kma nitafika au nitaenjoy Hela Sina kilichobaki kugandana na mtoto wa mtu ๐ ama neneMapenzi matamu banaa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐!
Hata umenikumbusha ngoja nitafte sleep over ya Leo mapema๐๐๐๐Ooh hongera Mimi siwez kuwa single mda mrefu napenda kupendana Yani najisikia ufahari kumpenda mtu siachi had mapenz yaniue ๐๐๐
Ukiyaendekeza yatakuua kweli ujuee๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐!!๐Ooh hongera Mimi siwez kuwa single mda mrefu napenda kupendana Yani najisikia ufahari kumpenda mtu siachi had mapenz yaniue ๐๐๐
๐๐๐๐Nitakufa kiume๐๐๐Ukiyaendekeza yatakuua kweli ujuee๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐!!
Sijaanza LeoSubir kindogo huo usingo utaukataa mwenyewe soon Tu๐๐
Mwanaume una lips mzuri uho ni umama
Na hiv tunaenda June yaaan n mgando mngando mpaka kieleweke๐Asikwambie mtu kwanza kufa nje nje mbinguni sijui kma nitafika au nitaenjoy Hela Sina kilichobaki kugandana na mtoto wa mtu ๐ ama nene
raha sana kusumbua mtu usiku 'bebi umekula??' eti ๐Asikwambie mtu kwanza kufa nje nje mbinguni sijui kma nitafika au nitaenjoy Hela Sina kilichobaki kugandana na mtoto wa mtu ๐ ama nene
Mie mwenyewe napenda kweli mapenzi sema hayanipendi ๐๐๐Ooh hongera Mimi siwez kuwa single mda mrefu napenda kupendana Yani najisikia ufahari kumpenda mtu siachi had mapenz yaniue ๐๐๐
Acha nianze kampen ya kukuondoa hapo๐๐Sijaanza Leo
Nimekomaa kwenye usingo ๐๐