Nipe nafasi tu.
Ingawa umeniita dogo
Umechelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani umevizia mie nimelala ndio umeweka [emoji22][emoji22]
Ukiamka weka tena dk moja kwa ajili yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Good morning people... Tuwekeni na hizi za asubuhi tafadhali
Ningepata mwili Kama huu[emoji3526]
Tuma selfie acha siasaNingepata mwili Kama huu[emoji3526]
Hatari sana sisy[emoji171]
Kweli wewe jf ulipotea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuma selfie acha siasa
naiona pete ya ndoa hapo.. naona umeshapata mume.
Hii dunia ukitaka kula kila unachokitaman utaishia kula sumu...
Wacha macho yafurahie inatosha
Shida kweli kweli
Uzee unatunyima mengi
Kwahy unanishauri twende taratibu si kwasi hii[emoji216][emoji216]
naiona pete ya ndoa hapo.. naona umeshapata mume.
Ningepata mwili Kama huu[emoji3526]