Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Napenda speed ya huu uzi pia comments zinanifurahisha sana! Big up kwa mleta mada na wachangiaji. Sometimes JF inatufanya tusahau michosho ya maisha na kuifanya akili iwe huru. Tuendeleeni kuukimbiza huu uzi mpk tuupite ule wa makapuku!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109][emoji123][emoji109][emoji123]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
Au huna koneksheni.
Mm nimeumia kwanini hawajanitag
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]itakuwa sina koneksheni halafu wewe mbona nilishakutag tangu jana ila nahisi comment yangu hukuiona tu tuma picha na wewe eti
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]itakuwa sina koneksheni halafu wewe mbona nilishakutag tangu jana ila nahisi comment yangu hukuiona tu tuma picha na wewe eti
[emoji134][emoji134][emoji134]kumbe ulinitag??
Sipati notification kwa wakati,mara nyingine sipati kabisa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
Kweli huna koneksheni..zangu mbona zipo kule juu
 
Kiofisi zaidi
1569818386819.jpeg
 
[emoji134][emoji134][emoji134]kumbe ulinitag??
Sipati notification kwa wakati,mara nyingine sipati kabisa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
Kweli huna koneksheni..zangu mbona zipo kule juu
Mimi mwenyewe kuna muda sipati notifications zenye tags, ndiyo shida ya sisi tunaotumia app wengi humu wanatumia browser ndiyo maana utasikia maswala ya pages yaani uzi umefika pages fulani za comments, ila sisi tunaotumia app hakuna cha pages wala nini yaani comments zote zipo sehemu moja ni wewe tu kuserereka nazo kuanzia juu hadi chini, browser iko vizuri kwenye notifications na settings japo mimi huwa inanitia uvivu naona bora app tu.
 
Back
Top Bottom