Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mimi web browser huwa naona inanichosha kutumia,japo kweli Ni nzuri.Mimi mwenyewe kuna muda sipati notifications zenye tags, ndiyo shida ya sisi tunaotumia app wengi humu wanatumia browser ndiyo maana utasikia maswala ya pages yaani uzi umefika pages fulani za comments, ila sisi tunaotumia app hakuna cha pages wala nini yaani comments zote zipo sehemu moja ni wewe tu kuserereka nazo kuanzia juu hadi chini, browser iko vizuri kwenye notifications na settings japo mimi huwa inanitia uvivu naona bora app tu.
App nimei update lakini wapi [emoji24][emoji24][emoji24]