Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Yaani wewe unakuwa humu halafu picha zinakupitaje?Na mimi nitag mwaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe unakuwa humu halafu picha zinakupitaje?Na mimi nitag mwaya
Si ndio hapo sasaWe waache wanaogopa siku wachomoa betri watatuwekea picha full sio nusu bora warushe kuepusha lawama baadae[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kutuma siyo shida je umetuma ya kwako??[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]nitahakikishaje kama ni ya kwako??Nimetuma, ole wako dunia isibadili mwelekeo.
Ipo tena fullMimi nimeweka mwanzoni kabisa mwa uzi,labla yako sijaiyona mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si unaona sasa[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kutuma siyo shida je umetuma ya kwako??[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]nitahakikishaje kama ni ya kwako??
Hahahaha kwa kweli umenikumbushaUkifukuzwa kazi useme ulikuwa unasubiri picha[emoji23]
Kwani umewahi kutumia browser??Sipage za post ...unagusa hapo kwnye izo namba unaziona
Page namba ngapi nakajioneeIpo tena full
Huwezi ukaona kirahisi hivyo na wakati hukuwepo[emoji134]Unalia nini sasa?
Wewe kafanye tu sitoifuta, utaikuta.Hahahaha kwa kweli umenikumbusha
Tunaroll town na kibegi 🏃View attachment 1219302View attachment 1219303View attachment 1219304Majukumu kwanza mengine yanafuata.
Have a good day[emoji41]
We una kazi ya kustuka tu[emoji23]
Alienda PM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani wewe unakuwa humu halafu picha zinakupitaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa ninyi ndiyo mnafanya tunasubiri picha zenu kama mishaharaUkifukuzwa kazi useme ulikuwa unasubiri picha[emoji23]
Kwani umewahi kutumia browser??
Una hakika sikuwepo? Nilikuwa napita kimya kimya. Ile nataka nikuquote nikwambie ukaifuta. Ila niiiona.Huwezi ukaona kirahisi hivyo na wakati hukuwepo[emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa ninyi ndiyo mnafanya tunasubiri picha zenu kama mishahara
Sijaiona bwana, maana nimeanzia chini sikuanzia huko juu. Ngoja nikaione.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We hujaona hiyo mashine