Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Nadhani wewe ndiyo hukunielewa, ngoja niendelee na kazi yangu ya kuomba picha mie maana hata sijui nilifikaje huku kwenye kubishania pages.[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Hii sio browser mbona jambo dogo unashindwa elewa ....
Mpangilio wa app na browser nitofauti na kote kuna page.
Nimefika mwisho wa huu mjadala.