Nadhani wewe ndiyo hukunielewa, ngoja niendelee na kazi yangu ya kuomba picha mie maana hata sijui nilifikaje huku kwenye kubishania pages.[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Hii sio browser mbona jambo dogo unashindwa elewa ....
Mpangilio wa app na browser nitofauti na kote kuna page.
Nimefika mwisho wa huu mjadala.
Kwenye browser au app??Huku ni mwendo wa next page.
Kama hapa me naona tuko page ya 183
HahaaaGood morning people... Tuwekeni na hizi za asubuhi tafadhali
Kwani aliweka ya Jackie Appiah??Aliweka nyingine yake sasa maana yule Appiah ni role model wake
Ujumbe murua kabisa.[emoji120][emoji120]Hii dunia ukitaka kula kila unachokitaman utaishia kula sumu...
Wacha macho yafurahie inatosha
Wewe nyau naomba kuona mwanya wakoWe nyau naomba kuona sura yako
Nadhani wewe ndiyo hukunielewa, ngoja niendelee na kazi yangu ya kuomba picha mie maana hata sijui nilifikaje huku kwenye kubishania pages.[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yesu anakuona
Hahahaha basi tunatofautiana, sawa.Pole, jitahidi utaizoea
Ila me app ninayo lakini siielewi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani wewe ndiyo hukunielewa, ngoja niendelee na kazi yangu ya kuomba picha mie maana hata sijui nilifikaje huku kwenye kubishania pages.[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Eti bwana huu ni ukatili wa kisaikolojia kabisaMtasababisha tukatike vidole jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Comments elfu tatu na kitu mtu anakwambia isake juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anhaaaa...niliona bonge la guu[emoji3526][emoji3526]Ipo huko juu page six nahisi.
Afu page mia na points akajiweka, nasikia ako na mwanya, ako na churaa amazing, ako na mguu wa bia ako na kila kitu kizuri zuri ila sasa kafuta [emoji849]
We Sakayo emu njoo hapa
Wewe kama mimi tuBrowser niliitumia kipindi najiunga.
Now naona inanichosha...siielewi kabisa
Hujascreenshot?πππAnhaaaa...niliona bonge la guu[emoji3526][emoji3526]
Umeona eenh??Ukifika huko juu kafuta usiende juu [emoji23][emoji23]
Tunafanyiana ukatili Hadi chitchat jamani [emoji19]Eti bwana huu ni ukatili wa kisaikolojia kabisa
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]Tulia wewe.
Hiyo akili hata ilikuwepo Basi[emoji134][emoji134]Hujascreenshot?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]hatari