Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ngoja nikupe picha yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila naona unajizungusha zungusha tu hapa..sijaona picha yako ujue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikupe picha yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila naona unajizungusha zungusha tu hapa..sijaona picha yako ujue
Ahsanteee naomba ufanye hivyoNgoja nikupe picha yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie mbona nilishatuma miwa yangu ya nyongeza kule juuIla naona unajizungusha zungusha tu hapa..sijaona picha yako ujue
Hivi miwa ya nyongeza unaijua mama?? Wacha nisiseme sana!!Wenye fimbo za pooltable tuna[emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ati nini thubutuNgoja nikupe picha yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakupa mwenyewe mdogo wangu punguza munkariAhsanteee naomba ufanye hivyo
Karma nichomoe nisichomoe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahsanteee naomba ufanye hivyo
Itakua mambo ya kilinge Mkuu. Na mie toka alipoipost yaani siendi jukwaa jingine wala post nyingine, nimeng'ang'ana tu kwenye post hii. Yaani nafuatilia comment moja baada ya nyingine. Mshana Jr. hii post yako sijui kwanini naipenda kila muda nikiingia jf siachi kuipitia
hongera sana...Nimeitwa intelijensia
wa wazee, si unajua wanadekezaUtamu upi sasa?
Usisahau kunitagNaituma saivi
😂😂😂😂🏃Huyu relief Sina shida na zake
Mbona nishatumaaUsisahau kunitag
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yule siyo mimi ujue
Weka tena mi sikuonaKwamba sijaweka?? Mbona niliweka ukiacha ile ya mtoto wangu wa mwisho kuna nyingine niliweka halafu nikafuta!!
Dah! Usifute ngoja nipite page kwa pageMbona nishatumaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wale wote walionisumbua kuomba picha.
Picha ilishafika na sifuti...kufuta ni uoga wa maisha.