Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa hujui Kama nywele zinasonga mbele na kurudi nyuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza kwa Sasa Sina nywele..nilishanyoa.
Avatar umeona ilikua kipindi naanza kusuka
Eti unaanza kusuka? Sio kwa mchicha ule na nikivyokuta Jana wanasifia nywele basi nikajua moja kwa moja ile ilikuwaga ni yako OG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…