Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Eti unaanza kusuka? Sio kwa mchicha ule na nikivyokuta Jana wanasifia nywele basi nikajua moja kwa moja ile ilikuwaga ni yako OG
Ya Jana Ni tofauti na ya kwenye Avatar pia Ni tofauti na nilivyo Sasa.
Nyakati 3 tofauti
 
Alipita ila hajatuma picha na Mother Confessor ndiyo sijamuona kabisa na Relief Mirzska naye sijui kapita kimya halafu nimegundua humu waliotuma picha wengi ni wanawake yaani wanaume waliotuma ni wachache sana tena siyo wale tunaokutanaga nao kule MMU yaani wengi wameuchuna aise
Wewe chimba chimba tu, ukishagundua mimi ndio nyete roho itakutulia.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom