Weka izo izo zilipendwaNyimbo zangu ni za kitambo mkuuππ
Unatumia camera?πOld school ππ Cc ephen_ View attachment 3061280
Hapana natumia simu tu rafiki yangu mpendwa ππUnatumia camera?π
Hiyo simu ipo vizuri!Hapana natumia simu tu rafiki yangu mpendwa ππ
Asante sana rafiki yangu πππHiyo simu ipo vizuri!
Kipapa kimefanyiwa usafi au ni kama chaka la Shangazi kipilipili πKipapa bana, mi sio wa kutumiwa chat napewaga full package πΉπΉ
Siku wakinga wavurugike kichwani naselfika naye hapa
Wii ujue nacheka hapa mbavu zinauma, utanifanya niutoe ubuyu kabla ya muda muafaka.!! π€£π€£π€£Kipapa kimefanyiwa usafi au ni kama chaka la Shangazi kipilipili π
Ukiweza uza sembeπππ Ngoja nipambane
Kweli jamaa anakojolea pazuri πAugust 13 ndo natimiza mwezi
ASante kwa kunipa title π
Simba damudamu
Ndio maana Huna pesaSimba damudamu
Ndio maana Huna pesa
Ahahahahh embu tuonePesa hazijioneshagi njoo tuchungulie ac tuone
Rusha Picha bhana ππππ umenizungusha sana. Mengine yatafuataAhahahahh embu tuone
Ahahahahaha ngoja cm iponeRusha Picha bhana ππππ umenizungusha sana. Mengine yatafuata