Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nkamu watu wasije kuzimia🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ watanikalia kikao kunidiscuss mpk nijing’ate.!
Zile dollar chache zimewakosesha raha week nzima wanatafuta video you tube waje kupinga, gari naona nitaletewa yard zote lionekane la wizi
 
Cc ephen_ kivuli 😎😎😎😎😎
IMG_20240804_122112_218.jpg
 
Team yake nao hawazijui wamebaki kutoa maneno ya shombo na chuki kibao.!! 🀣🀣🀣

Nkamu wewe mjanja ila unaplay low key kuwafanya wajuaji wajione wajinga, sasa zile dollar kashtuka vile siku nikijizima data nimuonyeshe ndinga ninayosukuma si ndo atatafuta yard aje kujifariji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jf kuna watu wana stress, ndiomana kuna siku kantry alisema umezidi kujidogosha hawa inatakiwa uwaonyeshe advertise nikapotezea.!! Kwa pipo za humu na chuki zao wanaweza kukutupia hata jini makata πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
I swear mie ni shabiki wako wa ile couple yako na Kantri kama Beyonce na Jay Z ...
 
Mkuu and 100 others kijana alitaka pesa imewekwa alitaka nyumba imewekwa basi na yeye aweke nyumba yake tuione au ndio kusema hata simu anayotumia Ina camera chafu πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜πŸ˜
Kama ulishawahi kuona ile movie ya The Tinder Swindler utakuwa umenielewa... I think ni documentary... Ulishawahi kuiona... Ni based on true story.
 
Back
Top Bottom