Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
ππ€£πππππππππππππππππππππππππππππSasa The Tinder Swindler ndiye huyo mwamba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππ€£πππππππππππππππππππππππππππππSasa The Tinder Swindler ndiye huyo mwamba.
Napenda samaki Sato au JodariβΊοΈKijana inafaa apewe samaki Cc ephen_ and 100 others maana ana matege inabidi apate madini chumvi
View attachment 3062263
Karibu sana kigamboni tuleNapenda samaki Sato au JodariβΊοΈ
Hata huyu anaonekana ni mtamu
Naunga mkono hoja mkuu ni balaa sana π€£ππHadi bodyguard fake alikua nao!
Ukiona nguvu kubwa inatumika kuaminisha watu kitu shtuka.
karibu ndugu, ila iyo siyo open kitchen, na ki bar flan cha kiduanziHii nyumba nzuri nimeielewa sitting room na hiyo open kitchen πππ
Kama ulishawahi kuona ile movie ya The Tinder Swindler utakuwa umenielewa... I think ni documentary... Ulishawahi kuiona... Ni based on true story.
Mbona haiwaki?π
π€£ππ Haina hela ni masikini π€£ππMbona haiwaki?π
Basi kauze spareπ€£ππ Haina hela ni masikini π€£ππ
Movie nikatazame wapi π€£ππBasi kauze spare
Nunua simu ya MillionMovie nikatazame wapi π€£ππ
π€£πππππ Dah !Nunua simu ya Million
Siku ukitupia ya halotel unitag
Usijali mkuu nitaitupia hata PM kaa karibu na simu yako tuuSiku ukitupia ya halotel unitag
Pm nitachelewa kuiona utupie hapahapaUsijali mkuu nitaitupia hata PM kaa karibu na simu yako tuu
Hapa wenye tamaa watabebaπ€£ππPm nitachelewa kuiona utupie hapahapa