Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
πππππHuo mkeka ulisukwa lini mpk leo uchanike?
Nkamu makubwa humu fanya biz yako bila kunihusisha na hizi kinds of maninerz
Keki za wateja wa VIP hiziTulia nitakuambia tatizo una harakaπ
Ngoja basi aseme keki unaenda wapiπππWe mbona mgumu kuelewa?
Au kitimoto ulichokula mchana kinakupeleka mbio?
Mimi sihusiani na huyo mtu sasa aconfirm ananijua?? Au tunajuana??
Mtajie mtu wako aache kudandia watu tusiohusikaπ
Tuliza wenge, alafu kuwa normal.Mtajie mtu wako aache kudandia watu tusiohusika
Ni wewe tu NkamuMtajie mtu wako aache kudandia watu tusiohusika
π€£ππππππππππ€£π€£πMwamba leo kila manzi anamkataa...
Mi ningejipiga kudu...
Sitaki drama mimi na wewe hatuna mahusiano, sasa huyo saint Anne kuniita kwenye cake zenu inanihusu nini??Tuliza wenge, alafu kuwa normal.
Rejea tulichozungumza jana alafu potezea
Basi Nkamu tumeachaππSitaki drama mimi na wewe hatuna mahusiano, sasa huyo saint Anne kuniita kwenye cake zenu inanihusu nini??
Wewe mtajie muhusika ili hizi drama zife
Mm naamini umeelewa, rejea tena. Alafu relax acha panicSitaki drama mimi na wewe hatuna mahusiano, sasa huyo saint Anne kuniita kwenye cake zenu inanihusu nini??
Wewe mtajie muhusika ili hizi drama zife
Jamaa akaoge mikojo sio kwa kuabika kiasi hiki!!Oyaa and 100 others mwanetu anaweka picha na kufuta π€£πππ
Wewe mwanamke ungekuwa karibu ningekupiga kwenzi.!!Ni wewe tu Nkamu
Hakuna mwingine
Yanga bingwa πππ yellow yellow nationalDaimaaa mbeleeeee πππππ€π€πͺπͺ
Kila la kheri Yangaaaπ ππππ€π€!πΊπΊπΊ
Nipo nataka kuirudia hii hapa nimuone mdauJamaa akaoge mikojo sio kwa kuabika kiasi hiki!!
Wala sijapanic ila nataka umpe maelekezo yβa kueleweka huyo mpishi wa cake aache kunihusisha kwenye mambo yenu.!!Mm naamini umeelewa, rejea tena. Alafu relax acha panic
Khaaa NkamuπππππWewe mwanamke ungekuwa karibu ningekupiga kwenzi.!!
Una masikio gani yasiyosikia??
Mimi sina uhusiano km unataka nikuungishe cake sema.!! Haya tengeneza yβa elfu 50 wapelekee watoto yatima walio karibu nawe.!!
Niletee bill yangu nikulipe.!
Umepanic bure tu, nilishampa maelezoWala sijapanic ila nataka umpe maelekezo yβa kueleweka huyo mpishi wa cake aache kunihusisha kwenye mambo yenu.!!