Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamaa akaoge mikojo sio kwa kuabika kiasi hiki!!
Nipo nataka kuirudia hii hapa nimuone mdau
Screenshot_20240811-175422_1.jpg
 
Wewe mwanamke ungekuwa karibu ningekupiga kwenzi.!!
Una masikio gani yasiyosikia??
Mimi sina uhusiano km unataka nikuungishe cake sema.!! Haya tengeneza y’a elfu 50 wapelekee watoto yatima walio karibu nawe.!!
Niletee bill yangu nikulipe.!
Khaaa NkamuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwahiyo hii oda hutaki kabisa
Kweli umekaza

Sawa Nkamu 😍
Weekend nitafanya hivyoπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Back
Top Bottom