Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20240812_213214.jpg
 
Huna ukapuku wowote sema hupendi show off 😂😂
Najua hapo mbioni kufungua bakery nkamu ghwangu

Huna ukapuku wowote sema hupendi show off 😂😂
Najua hapo mbioni kufungua bakery nkamu ghwangu
Nothing to show😂😂😂

Bakery
Labda ngoja niendelee kucheza mchezo supa
Huenda nikashinda kitita nifungue bakery 😂😂😂😂
 

Attachments

  • Screenshot_20240801-093016_1.jpg
    Screenshot_20240801-093016_1.jpg
    97.5 KB · Views: 2
Watu wa Dodoma wametuulia msanii wetu
Jamaa alikuwa fundi sana
Hii imeniuma sana, R.I.P Man Dojo, mmoja Kati ya watu wangu wa nguvu, Njia ni Moja...Rest in Peace Bro....
Nimesoma mitandaoni
Watu wengi wanatumia sana Ila shida ya sisi watanzania
Ni kama tumewatupa wasanii wetu wa zamani
Hatuzidi tena airtime nyimbo zao
Siyo maredioni siyo wapi

Ila sasa wakifa ndio tunaaanza kuhuzunika na kuonyesha tunawapenda sana.
 
Back
Top Bottom