ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Subiri nilale tu!Nipo tu singo namvizia ephen 😜
Sababu niliandika nikafuta nikaandika nikafuta tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri nilale tu!Nipo tu singo namvizia ephen 😜
Mchukue tu ila uje na ng'ombe 59 na mbuzi 20Nipo tu singo namvizia ephen 😜
Hunitaki tena?😒Mchukue tu ila uje na ng'ombe 59 na mbuzi 20
We hutaki mchumbaHunitaki tena?😒
Ebu wekaa mm skufahamTatizo nikiweka picha yangu mnanisema sana mimi ni kibonge🙌
Naona imefutwa.100 others comment yako umeifuta au imepitiwa?
Sitaki! Kama ilikupita basi subiri tena siku nyingine nikiwa na mood nitatupia album nzima☺️Ebu wekaa mm skufaham
Acha basi, hebu tupia ule msambwanda jamaa achanganyikiwe kwanza.Sitaki! Kama ilikupita basi subiri tena siku nyingine nikiwa na mood nitatupia album nzima☺️
Huna lolote unataka tu kunicheka😂Acha basi, hebu tupia ule msambwanda jamaa achanganyikiwe kwanza.
watu wapo kaziniNaona imefutwa.
Acha kabisa mkuu.watu wapo kazini
Kazi ya mod inanifaa sana, shift zote nitakua activeAcha kabisa mkuu.
Huyo jamaa kapost nini hadi uzi umefutwa?
Halafu mod itakua ni ephen
Sidhani kama kuna member wa kike humu anafikia lile kalio, uzuri nilibahatisha ilikua saa 9 usiku.Huna lolote unataka tu kunicheka😂
Kasema wanawake wa Jf comment zao kama Rihanna na Kim K ila uhalisia wao sjui kama Bambo nmesahauAcha kabisa mkuu.
Huyo jamaa kapost nini hadi uzi umefutwa?
Halafu mod itakua ni ephen
Kumbe ndivyo ulivyooo😂🙌Sidhani kama kuna member wa kike humu anafikia lile kalio, uzuri nilibahatisha ilikua saa 9 usiku.
Utafanya nikeshe kusubiri saa 9Sidhani kama kuna member wa kike humu anafikia lile kalio, uzuri nilibahatisha ilikua saa 9 usiku.