spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Kwa saa za huku nlipo ni muda wa kuhudumia watu wa MunguSasa si alisema yuko italy au? 😹😹😹
Unajua mtu anaweza kuongea kwa codes nyie mkajua kweli yuko italy kumbe mwenzenu anamaanisha vingine (italy ya lenzi mbinuko) 🤣🤣🤣
Kesho mkuu acha nipumzike
Kwa nini mkuu😁Ukiwa mod min-me utampa u platinum member.
Hatutaki.
Hongera sanaKumbe ndivyo ulivyooo😂🙌
Unajua kumpump mtu ila hilo kalio ndio sina labda kitambi
Kabali ya chino😂😂😂 Usijali ww ripoti ndio raha ya kuchachua kijiwe na ban zitembee
Geuka basi mkuumin -me angalau kidogo nashkikaView attachment 3075834
🙆Nitageuka soonGeuka basi mkuu
Kwema niliqoute vibayaWeee mbona unaquote na kufuta kwema???
OkKwema niliqoute vibaya
Up active
Tuonyeshe basAya🤣🤣
Si vidole tu et😅😅.?Evelyn Salt njoo umuone mume wa Nyamwi255 kasema anamuweka hapa