Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Eheeeeyahhh πŸ‘ŒπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜Ή
Mapenzi ya jf, ila nna liubuyu linanitesa.!
Kuna penzi lingine nalo lina crack’s km zote.. unaambiwa bwana kuna sehemu anajichekesha na kutoa miamala km yote Ila bidada hajuii
Weeeh uduguuuuu utaniponza niropoke πŸ˜ΉπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Uduguuu nisogezeee huo ubuyuuuu hata kulee bhanaaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ JF ni kupokeazanaa tyuuh
 
Whattttthhhh?!!!!!
Warereeeeeee.!! Unaambiwa ukitaka kujua umuhimu wa matraco kalia kichwa uone.!!

Na toka lini sikio likazidi kichwa??
Kwahiyo baba Jane bye bye πŸ‘‹πŸ€£πŸ€£πŸ€£

Jamani dj Nyamwi em nipigie kibao cha mapacha watatu β€œKUACHWA” πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndiomana hana raha machikiniii katoto lee

Sasa Shem anataka kurudi nyumba kubwa au? 😜
Mana uduguu ukute ushapindua meza kibabe
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uduguuu usinichekeshe mie hapaaa,
Kuhusu kupinduaa, uwezo ninao, ilaa sijaamua bhanaa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uduguuu nisogezeee huo ubuyuuuu hata kulee bhanaaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ JF ni kupokeazanaa tyuuh
Shoga liubuyu la moto nikilitoa hapa namalizia husiano na bwana yule anatamani kweli niuseme ili aachie ngazi, mana kamchoka bidada anamtafutia visa ss hivi.!!πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uduguuu usinichekeshe mie hapaaa,
Kuhusu kupinduaa, uwezo ninao, ilaa sijaamua bhanaa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣 Nyie miee chitakiiiii
Em pindua tuone!!

Mji mzito huu.!! Mwachiluwi mbona umecheka comment ya coca?? Kwema? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shoga liubuyu la moto nikilitoa hapa namalizia husiano na bwana yule anatamani kweli niuseme ili aachie ngazi, mana kamchoka bidada anamtafutia visa ss hivi.!!πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Sasa si uumwagee hapa, kukataa umeme.
Wee Tanesco unakuaje muoga na kazi uliyopewaaa? Au mshahara hakunaa?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣🀣 Nyie miee chitakiiiii
Em pindua tuone!!

Mji mzito huu.!! Mwachiluwi mbona umecheka comment ya coca?? Kwema? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nyieee mnanipaaa rahaa hatareeeeee!!
Selfikaaa haitakiwiiii kupoaaa, ni mwendo wa heka heka mwaaaa mwiiiii
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa si uumwagee hapa, kukataa umeme.
Wee Tanesco unakuaje muoga na kazi uliyopewaaa? Au mshahara hakunaa?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣 Tulia kwanza usiwe na pupa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nyieee mnanipaaa rahaa hatareeeeee!!
Selfikaaa haitakiwiiii kupoaaa, ni mwendo wa heka heka mwaaaa mwiiiii
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣 haipoi wala haiboi
 
Nkamu Saint Anne nitengenezee cake ya β€œAcha nijishebedue mke mwenza anijue” hapa nawasiliana na babe anitafutie ex wake wowote nimpe offer, I don’t want peace 😹😹😹
Kivumbi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aisee
 
Shouzzz mie niko poaaa!!
Nilkua kifungoni, majuzi ndo nimetoka lokapu.

Hapaa mabegii nimetua na ndo nshafikaa hivyoo.
Nimejaa teleee!! Mwendo wa heka heka, mwa mwiii
Hakuna kupoaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikataka nishangae
Coca ni wa kupotea hivi bila sababu?
 
Back
Top Bottom