Weeeeee muongoooooo Efen CCM ๐๐๐๐ค๐คdamu damuuuu!!๐๐๐ Mama Bit Na akiazinduka mnistueeee!๐Tuna angalia tamthilia hapa๐ huyo ni mwana thiimba siku hizi๐
Ndio inaendelea!! Nasubiri Jaimin na Sunuwa wapigane dendaโบ๏ธNdio namjua kwaza yule mama jana alichezesha vidole vip leo kaamka
Yule namuweza ni kapoleeLol leo sijaangalia ntaangalia marudio Kesho!
Nimetingwa na boli la wanaumee ๐๐๐๐ค๐ค๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช!
Una utani na min ako weee kwamba kakosa kabisa pa kuteleza mpaka anyetuke kweli???
Ngoja aje Akija Mie simoooo๐๐๐๐
Hhhh af yule dada ambaye mama yake alimzaa na muuza bar vip kashajua ukweli au bado embu adithia vzrNdio inaendelea!! Nasubiri Jaimin na Sunuwa wapigane dendaโบ๏ธ
Bado siri haijagundulika leo ndio itajulikanaO
Hhhh af yule dada ambaye mama yake alimzaa na muuza bar vip kashajua ukweli au bado embu adithia vzr
Mieee piaaaaaa nasubiria kwahamuuuuu!Ndio inaendelea!! Nasubiri Jaimin na Sunuwa wapigane dendaโบ๏ธ
Haya hapo sasaivi unamuona sonwaa?Bado siri haijagundulika leo ndio itajulikana
Weeeee ngoja siku umpee ndio utajua hujuiii ๐๐๐๐!Yule namuweza ni kapolee
Wanarefusha tu! Mimi nafurahi jaikyungu arudi kwenye umaskiniMieee piaaaaaa nasubiria kwahamuuuuu!
Ila mama yao alitaka kumwambia Jaimin kuwa hana undugu na Sunuwa kijana akawa kamind kaondokaa!
Yule mama yake anaongea kama mama wa vingunguti aseWanarefusha tu! Mimi nafurahi jaikyungu arudi kwenye umaskini
Namuona anaongea na simu๐Haya hapo sasaivi unamuona sonwaa?
Kampigia nani? Yeye ndio amepiga au amepigiwa?Namuona anaongea na simu๐
Na atarudi kweli karma is a bitchWanarefusha tu! Mimi nafurahi jaikyungu arudi kwenye umaskini
Unanichoshaaaaaaa๐Kampigia nani? Yeye ndio amepiga au amepigiwa?
Nataka nijue kama anasalio au hana au kakopa salio na yeye leoUnanichoshaaaaaaa๐
Mambo hukuuuu! Jaikyungu anasikiaaa๐Na atarudi kweli karma is a bitch
Ni suala la muda tuuuu!
Mungu wa Sunuwa anaushiii mambo yashaanza kujiset
Tengeneza dish lako vidole vinaniuma kutypeNataka nijue kama anasalio au hana au kakopa salio na yeye leo
Leo sikuwepo marudio saa ngapi kwaniWanarefusha tu! Mimi nafurahi jaikyungu arudi kwenye umaskini