Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Weeeeee muongoooooo Efen CCM 💚💚💛🖤🖤damu damuuuu!!😁😁😁 Mama Bit Na akiazinduka mnistueeee!😁Tuna angalia tamthilia hapa😊 huyo ni mwana thiimba siku hizi😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeeeee muongoooooo Efen CCM 💚💚💛🖤🖤damu damuuuu!!😁😁😁 Mama Bit Na akiazinduka mnistueeee!😁Tuna angalia tamthilia hapa😊 huyo ni mwana thiimba siku hizi😁
Ndio inaendelea!! Nasubiri Jaimin na Sunuwa wapigane denda☺️Ndio namjua kwaza yule mama jana alichezesha vidole vip leo kaamka
Yule namuweza ni kapoleeLol leo sijaangalia ntaangalia marudio Kesho!
Nimetingwa na boli la wanaumee 💚💚💛🖤🖤💪💪💪💪💪💪💪!
Una utani na min ako weee kwamba kakosa kabisa pa kuteleza mpaka anyetuke kweli???
Ngoja aje Akija Mie simoooo😁😁😁😁
Hhhh af yule dada ambaye mama yake alimzaa na muuza bar vip kashajua ukweli au bado embu adithia vzrNdio inaendelea!! Nasubiri Jaimin na Sunuwa wapigane denda☺️
Bado siri haijagundulika leo ndio itajulikanaO
Hhhh af yule dada ambaye mama yake alimzaa na muuza bar vip kashajua ukweli au bado embu adithia vzr
Mieee piaaaaaa nasubiria kwahamuuuuu!Ndio inaendelea!! Nasubiri Jaimin na Sunuwa wapigane denda☺️
Haya hapo sasaivi unamuona sonwaa?Bado siri haijagundulika leo ndio itajulikana
Weeeee ngoja siku umpee ndio utajua hujuiii 😁😁😊😊!Yule namuweza ni kapolee
Wanarefusha tu! Mimi nafurahi jaikyungu arudi kwenye umaskiniMieee piaaaaaa nasubiria kwahamuuuuu!
Ila mama yao alitaka kumwambia Jaimin kuwa hana undugu na Sunuwa kijana akawa kamind kaondokaa!
Yule mama yake anaongea kama mama wa vingunguti aseWanarefusha tu! Mimi nafurahi jaikyungu arudi kwenye umaskini
Namuona anaongea na simu😂Haya hapo sasaivi unamuona sonwaa?
Kampigia nani? Yeye ndio amepiga au amepigiwa?Namuona anaongea na simu😂
Na atarudi kweli karma is a bitchWanarefusha tu! Mimi nafurahi jaikyungu arudi kwenye umaskini
Unanichoshaaaaaaa🙌Kampigia nani? Yeye ndio amepiga au amepigiwa?
Nataka nijue kama anasalio au hana au kakopa salio na yeye leoUnanichoshaaaaaaa🙌
Mambo hukuuuu! Jaikyungu anasikiaaa😂Na atarudi kweli karma is a bitch
Ni suala la muda tuuuu!
Mungu wa Sunuwa anaushiii mambo yashaanza kujiset
Tengeneza dish lako vidole vinaniuma kutypeNataka nijue kama anasalio au hana au kakopa salio na yeye leo
Leo sikuwepo marudio saa ngapi kwaniWanarefusha tu! Mimi nafurahi jaikyungu arudi kwenye umaskini