Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Kama ni hyo bora tununue matunda uandae juiceAzam embe π€£π€£
uwiiimshamba_hachekwi
Shavu hili hapa
Aisee! No comment πππ
Sawa piaKama ni hyo bora tununue matunda uandae juice
ππuwiii
Ningesema bia vipπKama ni hyo bora tununue matunda uandae juice
Nzuri.Samahani kwa nini wapishi wengi mnapenda kuweka ubweche wa mviringo?Nimepata wageni wamenidai wali maharage π
Mpaji Mungu njoo uungane nao
@ephen ndiz zako kesho njoo Leo ule mandondo πView attachment 3085723
Babu jeans Kali sh ngap hiyo nimnunulie mjukuu wako labda atanipa kadi yake ya bank nitembee nayo ππ
Sijui sababu nafikir ni kufanya chakula kiwe na muonekano mzuri wengine hutumia bakuli kupimia waliNzuri.Samahani kwa nini wapishi wengi mnapenda kuweka ubweche wa mviringo?
Usiongeee kwa sautiNingesema bia vipπ
Hahaha............andaa shilingi 30,000 tu hapo KariakooBabu jeans Kali sh ngap hiyo nimnunulie mjukuu wako labda atanipa kadi yake ya bank nitembee nayo ππ
Eeh hayo mambo muhimu sana hayo yanaboost penziπHahaha............andaa shilingi 30,000 tu hapo Kariakoo
Kweli umekuwa Mjukuu, hadi umejua Mkwe naye anahitaji zawadi π€
Usisahau kumnunulia na wallet ukiweza, itafanya Mkwe awe anakuwaza Kila Siku πEeh hayo mambo muhimu sana hayo yanaboost penziπ
Asante sana Babu ngoja nianze kutunza buku buku nampa wallet namuwekea na elf 3. π€£π€£Usisahau kumnunulia na wallet ukiweza, itafanya Mkwe awe anakuwaza Kila Siku π
Hapo sawa π€Asante sana Babu ngoja nianze kutunza buku buku nampa wallet namuwekea na elf 3. π€£π€£
Nice picture brother πππ