Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko vyedi sana jirani selfika tulimiss uwepo wako tunafurahi kukuona tena!Nipo jirani, uko powa?. Asante jirani
Kwenye faili zangu hii haipo ila fresh 🤣🤣🤣
Mh sasa mbona unaongeaga ki spanyola kimenyooka mkuu afu Kuna Dili mahali la wanao ongea Spanish pale Zanzibar hoteli Moja hiviSijawahi kufika huko mkuu😅😅
Nami nasubiri mambo mazuri😂😂😂 nikipandisha milimani au?
Tulia hapo hapo nakuletea balaa soon
🤣Kaka bonge 🤣🤣🤣
Tajiri unavaa vest za kkoo mtunguo namna gani??
[/QUOTE
Sina jirani...kasimu kangu kabovu usiku huu🤣Niko vyedi sana jirani selfika tulimiss uwepo wako tunafurahi kukuona tena!
Sema nini jirani...!
Hauna kaforo🤳 kamoko utubles one time hapo kitambo sana humuu
Chino wangu 😍😍Nami nasubiri mambo mazuri
Nmeweka uko niwekeeeWekaaaa ndugu mjumbee kitambo sana sijasafisha macho yangu naforo zakooo!
Au Sijaelewa 😊😊😊!
Mie Kiswahilii nilifeliiigii Daktaree nasubiria blessings zako hapaa usinangushe
😂😂😂 ww bana tulia kwanza tuone pics za wana wa Israel
Nikajua Izzo Business 😍
Tuma selfie mkuuNikajua Izzo Business 😍
Ila JF kuna mikaka mizuri buana
Ok ok na za wanahamas 🤣😂😂😂 ww bana tulia kwanza tuone pics za wana wa Israel
Soon we tulia usicheze mbali mkuu 😂😂Tuma selfie mkuu
kumbe watu madr wa upasuaji na hamsemi
😂😂😂 noumaOk ok na za wanahamas 🤣