Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
ahah ndio maisha yetu ya jfKwani wanatupia pic wapate mademu?? 🤣🤣
Kuna mmoja alikuwa anatupia pics yuko maandishi matatu, (USA) siku ya siku nimemuona kwenye uzi mmoja analalamika mbegu alizopanda shambani kwake mkoa il huko hajizastawi 🤣🤣🤣
Anaomba ushauri kwa mabwana kilimo wamsaidie 🤣🤣