Niko vyedi sana jirani selfika tulimiss uwepo wako tunafurahi kukuona tena!Nipo jirani, uko powa?. Asante jirani
Kwenye faili zangu hii haipo ila fresh π€£π€£π€£
Mh sasa mbona unaongeaga ki spanyola kimenyooka mkuu afu Kuna Dili mahali la wanao ongea Spanish pale Zanzibar hoteli Moja hiviSijawahi kufika huko mkuuπ π
Nami nasubiri mambo mazuriπππ nikipandisha milimani au?
Tulia hapo hapo nakuletea balaa soon
π€£Kaka bonge π€£π€£π€£
Tajiri unavaa vest za kkoo mtunguo namna gani??
[/QUOTE
Sina jirani...kasimu kangu kabovu usiku huuπ€£Niko vyedi sana jirani selfika tulimiss uwepo wako tunafurahi kukuona tena!
Sema nini jirani...!
Hauna kaforoπ€³ kamoko utubles one time hapo kitambo sana humuu
Chino wangu ππNami nasubiri mambo mazuri
Nmeweka uko niwekeeeWekaaaa ndugu mjumbee kitambo sana sijasafisha macho yangu naforo zakooo!
Au Sijaelewa πππ!
Mie Kiswahilii nilifeliiigii Daktaree nasubiria blessings zako hapaa usinangushe
πππ ww bana tulia kwanza tuone pics za wana wa Israelπ€£
Nikajua Izzo Business π
Tuma selfie mkuuNikajua Izzo Business π
Ila JF kuna mikaka mizuri buana
Ok ok na za wanahamas π€£πππ ww bana tulia kwanza tuone pics za wana wa Israel
Soon we tulia usicheze mbali mkuu ππTuma selfie mkuu
kumbe watu madr wa upasuaji na hamsemi
πππ noumaOk ok na za wanahamas π€£