Unataka umponze mwenzio 😂😂Dogo Kuna Dili Italy upo tayari nikupeleke ukabebe boxi
Mbona mnatufokea watembea kwa miguu 😂😂😂
Dogo usijaribu 😂😂hapana ww.mbn ujaenda
Kwa watu ujue😆😆Mbona mnatufokea watembea kwa miguu 😂😂😂
Hilo jeep jamani 😍😍😍
Muulize wakili wangu kwanza nilikuwa wapi ata kwambia au muulize tajiri yangu bantu 😎😎hapana ww.mbn ujaenda
Yaani tunafokewa kwa picha. Umeona matajiri hao Odo ake? Soye vikapuku tu.Mbona mnatufokea watembea kwa miguu 😂😂😂
Hilo jeep jamani 😍😍😍
Mnaingilia utu wetu watembea kwa miguu, hii sio sawa kabisaa 😂😂😂Kwa watu ujue😆😆
Wee tajiriii unazo km hizo umezipaki bana 😜Yaani tunafokewa kwa picha. Umeona matajiri hao Odo ake? Soye vikapuku tu.
mm siendi popote nipo.tz sana nikiondoka kaburi la baba yangu atasafisha nani? nipo.sanaDogo usijaribu 😂😂
Huyo bana……. au basi
mm siwez tok hapa tzMuulize wakili wangu kwanza nilikuwa wapi ata kwambia au muulize tajiri yangu bantu 😎😎
panganyika umfwateMwanangu min me Toka aende Spain anaendesha jeep tu na watoto wa kilatini 😎 min -me
Tembea tembea mwanangu usikae sehemu Moja kama maswakimm siwez tok hapa tz
kutembea kwangu ni humu ndani tz ila nje.hapana watu wanauwawa ase mm hapanaTembea tembea mwanangu usikae sehemu Moja kama maswaki
Yesu Alikimbizwa Misri ili asiuwawe na Herode.Luka 15:17 “Alipozingatia moyoni mwake, alisema, Ni watumishi wangapi wa baba yangu wanaokula chakula na kusaza, na mimi hapa ninakufa kwa njaa. 18 Nitaondoka, nitakwenda kwa baba yangu na kumwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako; 19 sistahili kuitwa mwana wako tena; nifanye kama mmoja wa watumishi wako. 20 Akaondoka, akaenda kwa babaye. Alipokuwa angali mbali, baba yake alimwona, akamwonea huruma, akaenda mbio akamwangukia shingoni, akambusu sana. 21 Yule mwana akamwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako; sistahili kuitwa mwana wako tena. 22 Lakini baba aliwaambia watumwa wake, Lileteni upesi vazi lililo bora, mkamvike; mtieni na pete kidoleni, na viatu miguuni; 23 mleteni ndama yule aliyenona mkamchinje; nasi tule na kufurahi; 24 kwa kuwa huyu mwanangu alikuwa amekufa, naye amefufuka; alikuwa amepotea, naye ameonekana. Wakaanza kushangilia”
siondok tz