Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwani wanatupia pic wapate mademu?? [emoji1787][emoji1787]

Kuna mmoja alikuwa anatupia pics yuko maandishi matatu, (USA) siku ya siku nimemuona kwenye uzi mmoja analalamika mbegu alizopanda shambani kwake mkoani huko hajizastawi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Anaomba ushauri kwa mabwana kilimo wamsaidie [emoji1787][emoji1787]
Kwan USA hawalimiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom