sasa wakunifukuza hapa tz ni nani?Yesu Alikimbizwa Misri ili asiuwawe na Herode.
Ukipata nafasi ya kuondoka Ondoka Haraka. Cc min -me
Kuhusu Bantu Lady kubarikiwa Hilo halina mjadala mchuchu.Wee tajiriii unazo km hizo umezipaki bana ๐
Sisi watembea kwa miguu ndio tunafokewa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ombi langu lile lile mkuu msalimie sana anitta hapo Spain wiki hii ana show hapoHapana mkuu , gari ni kitu cha kawaida mno.
Ombi langu lile lile mkuu msalimie sana anitta hapo Spain wiki hii ana show hapoHapana mkuu , gari ni kitu cha kawaida mno.
Duh mkuu haya ya kutekana huyaoni ๐คฃ๐sasa wakunifukuza hapa tz ni nani?
wamba nitakuja kutekwa similiki pisto wala visitDuh mkuu haya ya kutekana huyaoni ๐คฃ๐
boss sio cha kawaida uku kwetu mafuta lita 3000 imagine upo na familia watoto wanataka kula gar pia,linatak kula mh mm siwez afford ata passo for sureHapana mkuu , gari ni kitu cha kawaida mno.
Huyo boss mkubwa na anatokea familia yenye pesa Tz ๐๐๐Kuhusu Bantu Lady kubarikiwa Hilo halina mjadala mchuchu.
Mungu kampa Kila kitu and gudluck toto la watu halijui kuringa
Tajiriiiiii nasubiri selfie yako min nilale ๐๐๐Hapana mkuu , gari ni kitu cha kawaida mno.
Wakili Tupia Moja kalii ๐๐Tajiriiiiii nasubiri selfie yako min nilale ๐๐๐
๐๐คฃ๐๐mm sio mtu wa ugomv wala.visasi so sizan k
wamba nitakuja kutekwa similiki pisto wala visit
๐คฃ๐คฃ๐คฃ asugue na jik, shingo ina nongo ptyuuuu.!! ๐คฎ
Cm zingine hazina filter, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Filter zipo Kwa simu jamani Kwa hiyo msihofu kupost
Kwan USA hawalimiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani wanatupia pic wapate mademu?? [emoji1787][emoji1787]
Kuna mmoja alikuwa anatupia pics yuko maandishi matatu, (USA) siku ya siku nimemuona kwenye uzi mmoja analalamika mbegu alizopanda shambani kwake mkoani huko hajizastawi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anaomba ushauri kwa mabwana kilimo wamsaidie [emoji1787][emoji1787]
Zee zima una edit picha, hujiaminiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mrembooo!!