Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwetu sis hamuwashi
Wenyew nyota inawaka
Na tuanzid Kuishi
Hamtopata mnalotaka

Sii hamtutii Moshi
Wala sehemu kiraka 😀
Saint Anne njoo tutest mitambo kwaajili ya ijumaa
Bure mwapapatika mahasidi
Na wazushi nyie,
Hizo zenu hekaheka mimi
Hazinikondeshi mie,
Majungu mnayopika...🔥🔥🔥

Nimehuzinika yule mama mzuri Sabaha wamemtoa nje
 
Bure mwapapatika mahasidi
Na wazushi nyie,
Hizo zenu hekaheka mimi
Hazinikondeshi mie,
Majungu mnayopika...🔥🔥🔥

Nimehuzinika yule mama mzuri Sabaha wamemtoa nje
Yani m wamenikosha Kwa hadija Jamani

Hasid ukifanikiwa
wewe Cheka Kwa Yako
Moyoni anaumia
riziki na namimniwa
Nakiona choyo chako
na kunisema vibaya 😃😃😃
 
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.

Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!

Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.

😂😂😂😂😂 imekaa poaa iyoo
 
Back
Top Bottom